Mpira mchezo wa ovyo sana, muda wa kushine huwa hauzidi miaka 10
Unaweza kucheza kwa Ujanja ujanja au bahati moaka miaka 15-20 mwishi
Kuna wachezaji wakitemwa na Simba au Yanga wanalia, wako radhi wajae benchi lakini akaunti isome
Starehe Wanazokula na maendeleo waliyonayo wachezaji wa jizi...
Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona.
Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya...
Mchambuzi nguli kabisa wa boli kutoka Clouds FM ameshangaa kwanini mshambuliaji namba 1 wa Pamba kuanzia benchi licha ya kuanza mechi zote za awali.
Soma Pia: FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024
Yapi maoni yako?
Nikikumbuka zile mbio za top scorer kati Yao na kilichopo Sasa basi nakuombea mpole arejee kwenye kile kiwango huku nikijiuliza ni Nini kimetokea
Maana hajazeeka na Wala kunenepa yuko vile vile
Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa
Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.
Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
"Nina Upendo, Huruma, Mpole na Mkarimu sana kuliko vile ambavyo labda Watu wengi wanadhani" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe.
Kamanda...
Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.
Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali...
Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya Odinga na kuwashawishi watu wapindue Serikali sio ya kuyafumbia macho hata kidogo!
Kama katiba ya Kenya...
Tafuta tu popote pale Picha ya Lionel Cognizant Messi akiwa ameshika Tuzo yake ya Golden Ball na ile ameshika Kombe la Dunia alizoshinda zote leo kisha muonyeshee tena kwa Kumringishia kabisa Christiano Ronaldo utaona atakavyokuwa Mpole na hata Kukuamkia Shikamoo kama ambavyo sasa anamuamkia...
George Mpole wewe ni kijana uliyevimba kichwa baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita.
Picha lilianza mechi ya kwanza ya ligi shidi ya Simba, wewe ukajificha kwa makusudi eti hautakuwepo kwa maana eti utokee dakika za mwisho kama 'suprise' kwa Simba na bado hukufanya chochote, hata :shot on...
Taarifa hizi za Urusi kupiga kombora Poland nilitegemea ziibue panic si ya kawaida kwa NATO wote (wale halisi wa kule na hawa wetu waliopo nanjilinji, mailimoja, kwa mfipa n.k) kwa jinsi walivyokuwa wanamtafuta kwa kitendo chake cha kuvamia Ukraine. Ni wakati gani tena bora wa kumfumua mtu...
Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto.
aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya...
Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau.
Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda kamchukue.
Nikamwambia naenda. Ghafla nimkarushia namba ya rafiki yake. Sasa hivi anaongea na kwikwi...
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila nadhani kama kuna Mchezaji Mzawa ambaye Watanzania tuna Roho Mbaya, Wivu na Unafiki wa Kutomuimba na Kumtukuza inavyotakiwa ni Kiungo Mshambuliaji na Winga Farid Malick Mussa wa Yanga SC.
Kama kuna Mchezaji ambaye leo katika Mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes...
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda.
Miongoni mwa walio hudhuria ni...
Ndiyo George Mpole kamaliza ligi na magoli 17 kwenye ligi yetu madafu wakati Sadio Mane kaishia goli 16 na lukaku hata magoli kumi hakufikisha EPL
Imeibuka tabia isiyo ya kiungwana ya kulinganisha wachezaji waliotokea ligi za maana na takwimu za wachezaji wa ligi yetu ya madafu.
Unakuta mtu...
Nianze kwa kumpongeza Bw. mdogo (Ali Kamwe) kwa kazi nzuri ya uchambuzi wa soka hasa ligi ya ndani ambayo amakekuwa akiifanya kwa usanifu wa hali ya juu kupitia kituo cha AZAM TV. Pamoja na umri wake kuwa mdogo, Bw mdogo ameonyesha sio tu ukomavu mkubwa wa akili anapochambua soka letu bali pia...
George upo bawna mdogo!
Kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa.
Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga na mkeka wa Simba. Yusuph Mhilu kaua mpira wake baada kujiunga na mkeka wa Simba.
Nasema mkeka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.