mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Je ni sahihi kufanyia ngono na mwanamke meingine kwenye kitanda ulichokua unalalia na mkeo?

    Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home. Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Mkeo au Mchumba akikuacha hivi ndivyo utakavyofanya.

    MKEO AU MCHUMBA AKIKUACHA HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ili mwanamke asikusumbue kuna kanuni nyingi lazima uzijue na uzitumie. Mojawapo ya Kanuni hizo 1. Demand and Supply Law. Hii uliisoma kwenye Commerce bila Shaka kidato cha pili. Kanuni hii haipo tuu kwenye...
  3. fimboyaukwaju

    Usimseme mkeo au mumeo vibaya kwa watu.

    Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu mke au mume kumsema mwenzie kwa watu hovyohovyo.Ni vizuri kuongea nyie wawili panapotokea kutokuelewana.Ugumu unatoka wapi,mbona mnavuliana nguo na kushiriki tendo la ndoa?Acheni hii tabia
  4. Maleven

    Kama mkeo aliekukosea haombi msamaha na siku zaenda, waweza jisemesha mambo yaendelee?

    Kwa mfano mmepishana kauli, mkeo akakupandishia sauti hivyo, we ukakasirika, lakini soku zaenda, mkeo haoni kama amekosea na wala haombi msamaha, anakula buyu kama wewe. Je utajisemesha tu mambo yaendelee kama zaman? Au utamwambia akuombe msamaha alikukosea? Au na wewe utakausha tu hadi...
  5. Gentlemen_

    Kosa la usaliti: Nani mwenye Makosa Rafiki au Mkeo? : VIDEO

    Ngosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake.. Analalama kwa uchungu sana.. KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi. Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri). Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti...
  6. mdukuzi

    Ukifiwa na mkeo unatakiwa ukae muda gani kabla ya kuoa tena?

    Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta. Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete...
  7. GENTAMYCINE

    Ni mbinu ipi Mwanaume uliyetoka 'Kumchiti' Mkeo unatakiwa uitumie pale akikufanyia 'Ambush' ya kufanya nae Mapenzi huku ukiwa Umechoka sana?

    Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana...
  8. fimboyaukwaju

    Mkeo au Mmeo ni yule ambaye hamkubaliani kwa mengi

    Najua mtashangaa sana,lakini mwenza wako ambae ndio mtaishi nae kwa amani na furaha na hatimae mtazikana, ni yule ambae hamkubaliani kwa mengi, lakini mnakubaliana machache ambayo ndio msingi wa ndoa yenu. Msitafute mwenza ambae mnakubaliana mengi, ndoa haitadumu.
  9. ngara23

    Zingatia mambo 10 haya Kwa mkeo

    1. Mkeo si mkamilifu, msamehe 2.mkeo ndo UTI wa mgongo wako, usiuvunje 3.Mkeo ni timu, mthamini 4.mkeo ni kito adimu, mtunze 5.Mkeo ni rafiki yako, muweke karibu yako 6 mkeo ni furaha yako, mnawirishe 7.mkeo anatakiwa kuwa Bora, mchsngamkie, 8 mkeo ni sehemu ya mwili wako, msitawishe 9 Mkeo sio...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanaume bora lazima umtoe out mkeo na kumnunulia zawadi. Haiwezekani mwaka mzima hujafanya hivyo!

    MWANAUME BORA LAZIMA UMTOE OUT MKEO NA KUMNUNULIA ZAWADI. HAIWEZEKANI MWAKA MZIMA HUJAFANYA HIVYO. HUO NI USHENZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siku 365 na masaa kadhaa Mkeo na watoto wapo nyumbani kama gereza la Kinguruila. Kila siku kupika chakula hapo nyumbani huyo Mkeo hachoki tuu...
  11. O

    Mambo 10 kuhusu mkeo yazingatie

    MAMBO 10 KUHUSU MKEO YAZINGATIE.. 1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe. 2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje. 3. Mkeo ni tunu, mthamini. 4. Mkeo ni kito adimu, mtunze. 5. Mkeo ni rafiki yako bora, muweke karibu yako. 6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe. 7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa...
  12. Loading failed

    Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

    Ndugu zangu salaam Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
  13. fimboyaukwaju

    Mkeo mle with passion

    Huyo ndio mali yako,mle with passion,bila huruma,mle mpaka aseme leo umenila,kuanzia romansi,hadi staili mpya mpya,hakikisha anatoa milio ya kila aina huku na wewe unamsemesha kinyegenyege wakati unamla.Na uwe unamuandaa mapema kwa kumwambia bby leo nataka nikule haswaaaaaaaaa,chapa...
  14. kwisha

    Japokuwa watu usema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na tabia hii kwa mkeo ?

    Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex Nikiomba sex kwake kwa akili yake yeye ndo anaona amepata avantage ya kunitumisha na kunimiliki utasikia nifanyie ivi nenda...
  15. I

    Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

    Hali zenu? Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda wangu wa suruali nikamtandika nao hatari alivyopata upenyo akakimbilia nje. Kumbe mashosti zake...
  16. Rorscharch

    Ukitaka kuoa usiangalie kabila wala Nyash bali chunguza kama Baba wa mkeo mtarajiwa ni mkoloni, utakuja kunishukuru

    Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe Kuna wale mababa ambao huwaita watoto wao wa kike maneno ya kiutani utani; utasikia "my little angel", "Sweetheart" na ukurutu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiona ndugu na watu wanamdharau Mkeo ujue wewe mwenyewe Wanakudharau

    UKIONA NDUGU NA WATU WANAMDHARAU MKEO UJUE WEWE MWENYEWE WANAKUDHARAU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Huwezi kuwa Mwanaume mwenye heshima kama Mkeo anadharaulika, na kudharauliwa na watu wengine. Iwe ni wazazi au ndugu zako ukiona Wanamdharau Mkeo ujue hata wewe wamekudharau...
  18. Etugrul Bey

    Inaposemwa mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja huashiria kwamba hata mkeo anaweza kuwa wa mwanaume mwingine

    Imezoeleka kusemwa kwamba mwanaume katu hawezi kuwa wa mwanamke mmoja ila lazima awe na wanawake wengi,je umeshawahi kujiuliza kwamba huyo mwanaume ambaye hakai na mwanamke mmoja kwamba anaweza pita na mkeo? Kama hivyo ndivyo basi nadhani wanaume ifike kipindi tujue kwamba kama sisi hatuwezi...
  19. ndege JOHN

    Ewe mlevi mwenzangu je ukilewa mbele ya mkeo pia huwa anakukataza?

    Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani. Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe au mambo mengi, pombe zinaachwa kwa step ila pia ni wake wengi mbona wanapenda waume zao wanywe nao...
  20. G

    Wanaume! Ukiona unazaa watoto wasiofanana na wewe ujue mkeo ni kicheche ama alikuwa kicheche.

    Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao. Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
Back
Top Bottom