miaka mitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mtoto wa miaka mitatu aliwa na fisi Mwanza wakati akienda kuoga kwenye dimbwi

    Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake. Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
  2. L

    #COVID19 Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa utaratibu na unaendana na nyakati

    Ripoti iliyotolewa wiki hii na kituo cha Yuyuantantian, kinachomilikiwa na shirika kuu la Habari la China (CMG) inaonyesha kuwa Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa kimfumo na unaendana na nyakati na pia umeokoa maisha ya watu. Pamoja na hatua za kuzuia na kudhibiti...
  3. NetMaster

    Tukiachana na simba kunusurika kushuka ligi kuu mara nyingi, Je Yanga imewahi kumaliza ligi kuu chini ya nafasi ya tatu ?

    Ok, Nadhani kila mtu anajua kwamba Simba tayari wamewahi kumaliza ligi kwa kushika nafasi za chini na hata kunusurika mara nyingi kushuka daraja huku Yanga ikiwaokoa zaidi ya mara moja wasishuke . Kuhusu Yanga hivi imewahi kutokea wamemaliza ligi wakiwa nje ya top three ?
  4. BARD AI

    Iringa: Afungwa jela miaka mitatu kwa kumchoma mikono mtoto wa kambo

    Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Edward Uphoro ametoa adhabu kwa mshtakiwa Bruce Karistus aliyekiri kutenda kosa hilo dhidi ya mtoto wake wa kufikia. Kwa mujibu wa Mashtaka imeelezwa kuwa Oktoba 21, 2022 Karistus alimjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mtoto mwenye miaka...
  5. 4

    Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

    Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la msingi kwenu Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ? Kumbuka mtakutana na nchi ambayo imearibiwa kila sehem, wenda pia Azina mkakuta inasoma ziro maana Kasi...
  6. 4

    Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

    Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la mwingi kwenu Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ? Kumbuka mtakutana na nchi ambayo imearibiwa kila sehem, wenda pia Azina mkakuta inasoma ziro maana Kasi...
  7. Gordian Anduru

    Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

    Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
  8. S

    Thread niliyoiweka humu JF miaka mitatu iliyopita imeshughulikiwa! Namshukuru Rais Samia, na tuendelee kusema kupitia JF, tunasikilizwa!

    Miaka mitatu iliyopita, niliweka thread humu JF na kuainisha wazi kabisa jinsi serikali ilivyokuwa ikiwanvunjia Watanzania haki zao za binadamu. Leo hii nina furaha sana kuona hili limesikilizwa! Wakati huo tulikuwa chini nya Raisi Magufuli, lakini niliona kuna haja ya kumweleza ukweli kutokana...
  9. JanguKamaJangu

    Usingizi akiwa darasani ulivyomuokoa mtoto wa miaka mitatu katika mauaji

    Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aitwae Emmy ,alikua amesinzia huku amemuegemea rafiki yake darasani katika shule iliyoshambuliwa kwa risasi huko Kaskazini mwa Thailand , wakati muuaji alipovunja mlango na kuingia ndani alhamis wiki hii. Darasa hilo lililokua na wanafunzi takribani 11 wote...
  10. Championship

    Kwa mikopo ya trilioni 12 kwenye bajeti ya 2022/23, Tanzania itakuwa imefilisika kufikia 2027

    Jedwali linaonesha serikali itakopa walau trilioni 12 na pengine misaada ifikie trilioni 2.4 Makusanyo ya ndani wameweka trilioni 28 lakini uhalisia haivuki trilioni 23. Kwahiyo mikopo ni zaidi ya nusu ya makusanyo yote. Maana yake wakikopa hivi kwenye bajeti za miaka minne ijayo (ukizingatia...
  11. Roving Journalist

    Mbeya: Walioghushi vocha za pembejeo za kilimo wahukumiwa kwenda jela

    Mahakama ya Wilaya Kyela Mkoani Mbeya, Septemba 1, 2022 ilitoa hukumu ya mashauri mawili. Kwanza ni Shauri ya Jinai Na.91/2021 (R v Never Black Mwakalinga na Holdin Jaji), ambapo mshtakiwa wa kwanza Bi. Never Black Mwakalinga alikuwa Wakala wa Pembejeo za Kilimo katika Kijiji cha Mwaya na...
  12. BARD AI

    Myanmar: Kiongozi aliyeondolewa madarakani afungwa miaka mitatu, tayari anatumikia mingine 17

    Mahakama inayosimamiwa na Jeshi imetoa hukumu hiyo dhidi ya Aung San Suu Kyi ambaye tayari anatumikia kifungo kingine cha miaka 17 kwa makosa 11, endapo atakutwa na hatia kwa makosa mengine, anaweza kufungwa hadi miaka 200. Suu Kyi na wanachama wengine 12,000 wa chama chake wamefungwa jela...
Back
Top Bottom