message

A message is a discrete unit of communication intended by the source for consumption by some recipient or group of recipients. A message may be delivered by various means, including courier, telegraphy, carrier pigeon and electronic bus.
A message can be the content of a broadcast. An interactive
exchange of messages forms a conversation.One example of a message is a press release, which may vary from a brief report or statement released by a public agency to commercial publicity material.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyamwi255

    Nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp?

    Kichwa chajieleza vizuri, naomba mnisaidie ni kwa nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp ikiwa natumia Whatsapp ya kawaida tofatu na gb Whatsapp, fm WhatsApp n.k Kama Kuna App ya kurudisha deleted message basi naomba kufahamishwa. Ova.
  2. Mwl.RCT

    What a Wonderful World? Satchmo's secret message

    Ever felt overwhelmed by the world's problems? Wars, hunger, pollution – it's easy to lose hope. But what if the key to a better world isn't about fixing everything, but changing our perspective? 🎺 Louis Armstrong, the legendary Satchmo, knew this secret. In his iconic song, he didn't ignore the...
  3. P

    Leo nilijipanga kuandika message ya kuipongeza Serikali kwa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme, nashangaa kimya

    Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme. Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
  4. Girland

    Ujumbe wa Bashe kwa Kikwete uliozua gumzo ni kuhusu Edward Lowassa

    Wakati tunasikitika kumpoteza, Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, si vibaya tukakumbushana kidogo. Ikumbukwe, baada ya kukatwa kwa jina la Edward katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mgombea wa CCM mwaka 2015. Mzee Lowassa alitimkia upinzani CHADEMA, ambako alipata nafasi ya kugombea Urais...
  5. Ivan Stepanov

    Mazingira yaliyomzunguka mwanadamu hutupa signals zilizobeba ujumbe

    Wakuu habari za wakati huu. Ni matumaini yangu hamjambo, na wale wenye changamoto (ni sehemu ya maisha japo zinazidiana), basi mwenyezi Mungu awafanyie mlango. Nimependa tu kuandika hiki kitu japo kinaweza kisiwe kwa ajili ya kila mtu lakini sio mbaya ukisoma kwakua it doesn't cost you a penny...
  6. X

    Chongolo atuma message binafsi kushukuru kuungwa mkono kwa Bandari

    Nahisi walikosea namba, message zimekuja kwangu. Hao walioshukuriwa hakuna hata mmoja ninaemjua. Swali linalofikirisha, ni kwanini atoe shukrani kwa jambo ambalo lilipaswa kuwa halali?? Kushukuru ni kama vile kila mtetezi anafanya msaada.
  7. FlyingDutchman

    I'm still waiting for her message 😔

    Maybe bila yeye am just another lonely soul😔 I wonder au Niko na pretend kutotuma message mpaka aanze yeye and yet am dying inside. I think I'm acting tough for something I shouldn't, Iko hivi I met this beautiful girl, she is at her late 20's , yeah kipindi tunanza kila kitu ilikua ako sawa...
  8. S

    My message to all of you especially football fans

    Historia ina nafasi katika ushabiki lakini haina nafasi ndani ya uwanja. Maandalizi ndio kila kitu.
  9. Apollo

    WhatsApp itaweka sehemu ya "ku-edit message"

    WhatsApp itaweka mabadiliko ambayo kila mtumiaji alikuwa anatamani kuona sehemu hii mpya inawekwa. Kwa kawaida WhatsApp haina sehemu ya ku-edit message baada ya kuitumia. Mtu akikosea kuituma analazimika kuifuta message na kuandika upya. WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya...
  10. S

    Mwanaume kama huna pesa kila message ikiingia moyo unadunda

    Wasalamu, mwanaume kama huna pesa huna tofauti na gari isiyo na mafuta. Mwanaume ndie ATM ya familia. Yaani ukiona tu message yeyeto tu imeingia kwenye simu kabla ya kufungua tu simu uisome mawazo elf 10 yashakujaa kichwani, unawaza uenda ni message ya mwenye duka,marejesho ya mkopo,kodi...
  11. Dr Matola PhD

    Hongera Sugu kwa kuwa msikivu, na mliyompa ushauri wangu kutoka JF mbarikiwe, ujumbe umefika

    Inaleta faraja pale unapoona ndugu au rafiki anapotoka ukamrudisha kwenye mstari naye akakubali kurudi kwenye mstari. Nilimshauri Joseph Mbilinyi Sugu hapa JF aachane na tabia za wavulana...
  12. Superbug

    A message to the Russian ambassador to Tanzania

    We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian ambassador to Tanzania to pass throughout all social media and see how Tanzanians and africans in...
  13. Stephano Mgendanyi

    Pastor John Hagee - Here is my message about the invasion of the Ukraine 🇺🇦

    Pastor John Hagee - Here is my message about the invasion of the Ukraine 🇺🇦 Today, The headlines of the Wall Street Journal Shook America, saying UKRAINE BRACES FOR WAR. Russia's dream of Recreating the USSR is becoming a Reality. This may well be the day that historians looks back, declaring...
  14. Mathanzua

    Message to every human being on every capital city in every nation across the planet who cherishes freedom

    The peaceful demonstrations and attempts to seek freedom accross the World must continue until the plandemic/scamdemic is shut down. This is a life or death Civil Rights struggle against medical & political tyranny and evil power-grab by Ruling Elites based on a fake pandemic, fraudulent...
  15. Kasomi

    WhatsApp imeweka mfumo wa "Disappearing Messages" kwa chatting mpya

    Wiki hii WhatsApp inaweka uwezo wa kuchagua mfumo wa Disappearing Messages katika chats zote mpya. Disappearing Messages ni option ya kuamua chats zifutike baada ya masaa 24, Siku 7 au Siku 90. Mfumo mpya unaofanana na mfumo wa Snapchat, utawezesha watumiaji kuweka option ya Disappering...
Back
Top Bottom