mbuga

Mbuga is an administrative ward in the Mpwapwa district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 8,253.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    LGE2024 Mbunge Samizi achanja mbuga kunadi Wagombea wa CCM Muhambwe

    MBUNGE SAMIZI ACHANJA MBUGA KUNADI WAGOMBEA WA CCM MUHAMBWE. Apita mguu kwa mguu Kata za Mkabuye, Rugongwe, Busagara kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuchanja mbuga kuwaombea kura na kuwanadi wagombea wa...
  2. B

    Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

    Habari GTs, Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza. Naomba kuwasilisha.
  3. G

    Trump anazidi kuchanja mbuga, Mgombea maarufu wa kujitegemea Robert F Kennedy Jr amuunga mkono

    Mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi wa urais Marekani Robert F Kennedy Jr ameungana na mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, jukwaani katika mkutano wa kampeni huko Arizona baada ya kujiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho na kumuunga mkono rais huyo wa zamani wa Marekani. Kennedy ni...
  4. G

    Naomba kujua mgogoro wa Ngorongoro maana mbuga ni muhimu haiwezi kuhamishwa Ila ndugu zetu nao muhimu pia

    Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
  5. mheshimiwamtemi

    WIMBO: MBUGA ZA WANYAMA

    Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao. Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu? Mbuga za wanyama Tanzania, ya Kwanza ni Serengeti, Ngorongoro na Manyara na Mikumi oooh Tanzania...
  6. Donnie Charlie

    Mbuga ya wanyama huko paris, 1905

    Mwishoni mwa miaka ya 1800 hadi miaka ya 1900, Wamarekani Weupe na Wazungu walitumia Waafrika kuunda "Zoo za Wanadamu" katika miji kama Paris, Hamburg, Antwerp, Barcelona, London, Milan, Warsaw, St Louis na New York City. Wazo la kijiji cha Negro lilikuwa maarufu zaidi nchini Ujerumani, ambapo...
  7. chiembe

    Nini kesho ya mbuga ya Selous?

    'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?' Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa...
  8. chiembe

    Matunda ya Royal Tour yavutia watanzania kutembelea Mbuga za wanyama, Heche mbunge ya Tarime amaliza mwaka mbugani

    John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa baada ya Mh. Rais Samia kuhamasisha kupitia Royal Tour.
  9. Mpinzire

    Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

    Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah! *********** ************** Update Ndege imetoka Zanzibar sasa...
  10. Father of All

    Je ikitokea likaja wazo kuwa uchague kati ya kubinafsisha ardhi, bandari, mbuga, kwa uchukuaji uitwao uwekezaji na ikulu, utachagua kipi?

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni ya DP World uliongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Bw. Sultan Ahmed Bin Sulayem, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 17 Nov 2021 (pichani ikulu Dar). Tangu tuanze sheria za...
  11. sky soldier

    Uwepo wa UAE kwenye Mbuga, Bandari, Misitu, Tanesco: Nini kingine hatukijui?

    Tatizo sio Kuwakaribisha wawekezaji bali ni aina ya mikataba, mfano hii mikataba ya waarabu kama wa bandari hauvunjiki hadi wao watake uvunjike ndio maana unaitwa wa milele. 1. BANDARI - Na sasa kuna mkataba huu wa bandari ambao ndio unazungumziwa zaidi sababu kipengere cha kuuvunja ni mpaka...
  12. Zanzibar-ASP

    Madini tuliuza, Gesi tukauza, Mbuga tukauza na sasa bandari tumeuza. CCM ni laana

    Katika kipindi cha miaka 60 ya utawala wa CCM (zamani TANU na ASP) karibu rasimali zote muhimu zenye kubeba urithi wa vizazi vya sasa na vizazi vinavyokuja vya Watanganyika zimeuzwa kilaghai kwa wageni. Madini yaliuzwa kwa Mzungu, Mbuga zikauzwa kwa Muarabu, Gesi ikauzwa kwa Mchina na sasa...
  13. dega

    Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

    Hii issue imedhihirisha chuki waliokuwa nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya kwanini. Tulitegemea unge dadavuliwa mkataba na mapungufu yake, lakini la ajabu, matusi kwa mama ndio ilikuwa pumulio la Watanganyika dhidi ya mkataba. Haikutukanwa...
  14. Black Opal

    Tujihesabie maumivu au tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini?

    Kama tumesikia visiwa vinauzwa wageni, mbuga nazo zinabebwa, madini huko nako ni kichomi kingine, bandari imekuja kuongeza msumari wa moto kwenye kidonda halafu wanakuja kukanisha sio miaka 100 ni miezi 12! Uwekezaji tu uliofanywa ni zaidi ya miezi hiyo, hapo hujaagalia utekelezaji, faida na...
  15. Stephano Mgendanyi

    Wasafiri Wanaotumia Njia za Mbuga za Wanyama Wasihesabiwe kama Watalii

    Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amesema Wizara isiwahesabie abiria kutoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine kwa kupitia njia zilizopo kwenye Mbuga za Wanyama kama Watalii wa ndani kwani hawaigizi fedha za...
  16. KingCobra95

    Hivi kuna mbuga maeneo ya UDSM-Msewe-Baruti?

    Kichwa cha habari kinahusika. Katika pita pita zangu za hapa na pale, nimebahatika kupita maeneo tajwa hapo juu. Kwakweli sijawahi kuona utitiri wa ngedere kiasi hichi. Nakumbuka zamani hizo UDSM pale, tulikuwa tunawaona mara moja moja, lakini nilichokiona wiki hii, nilidhani niko Mikumi...
  17. Stephano Mgendanyi

    Bupe Ahoji Ujenzi wa Barabara Inayopitia Mbuga ya Wanyama ya Katavi

    BUPE MWAKANG'ATA - AHOJI UJENZI BARABARA INAYOPITA MBUGA YA WANYAMA KATAVI MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata katika kikao cha bajeti Bungeni kwenye kipindi cha maswali na majibu ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. "Ni...
  18. T

    Utabiri wakutisha ktk mbuga za Serengeti Kifo cha Simba dume Bob Junior

    Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea. Mimi nataka kuwaambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex. Ktk mbuga ya Serengeti...
  19. Roy Logan

    Tupia picha ya mbuga uliyotembelea Tanzania

    Habari za majukumu wadau, katika kukuza utalii wa ndani na kuhamasishana mara moja moja kwenda kutembelea mbuga zetu, tafadhali tupia picha ulizopiga mwenyewe ukiwa mbugani. Mimi naanza na hizo nikiwa Tarangire National Park.
  20. aka2030

    USHAURI: Msitu wa pande ugeuzwe kuwa mbuga ya wanyama

    Naaam Ili kuchochea utalii dsm pamoja na kuongeza kipato Wawekwe wanyama wasio na madhara kama Twiga pundamilia mbuni Lazima Ifikiwe tuwe wabunifu kama hoteli moja huko kigamboni inaweka twiga na pundamilia hii msitu wa pande inashindikana vipi Watu wa maliasili na tanapa tazameni hili...
Back
Top Bottom