mbu

The Mbu puffer, giant puffer or giant freshwater puffer (Tetraodon mbu) is a carnivorous freshwater pufferfish originating from the middle and lower sections of the Congo river in Africa, as well as the east coast of Lake Tanganyika near the Malagarasi River mouth.
The species is commonly referred to as the giant freshwater pufferfish due to its massive size, growing to a length of 67 cm (26 inches). As such, these fish are difficult to adequately house in home aquaria since they require a very large tank and appropriately scaled water filtration.
Like all of its relatives, the Mbu puffer is capable of inflating itself with water or air when stressed or otherwise frightened. It feeds on smaller fish, mollusks and crustaceans and snails. Species kept in captivity require a varied diet consisting of shelled foods to help ensure good health and to prevent tooth overgrowth.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

    Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu. Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa. Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu. Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
  2. chizcom

    Tofauti ya kusema mtumba sio nguo za mdosho sawa na kusema udi sio dawa ya kufukuza mbu

    Wiki zilizopita nili nunua viatu vya kichina ikatokea vikapotea mazingira ambayo ni uzembe wangu.Kwa vile nilipo mji ni mdogo nikashangaa kuulizia na alama niliyo gundua kuwa niliweka mimi nikaambiwa ni mtumba vinadumu. Hivi kwa nini watu wanaamini kilicho tumika kinadumu wakati kinaweza kuwa...
  3. mjenziwakale

    Kwa Wakazi wa Dar hivi hapo chumbani kwako mbu wapo au ni hapa kwangu ni Neema imenishukia.!!!

    Aisee huwezi amini kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 13 tokea niingie hapa mjini nalala bila kufunga chandarau maana mbu wametoweka kabisaa, hata sauti siisikii kabisaa. Vipi huko kwenu?? Sijui ni nn kimewasibu hawa watesi wangu (mbu) hapa nyumbani.
  4. Twilumba

    Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

    Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakisha kutoa press Release kama vile mwafanyaga kwenye matukio mengine. Zaidi kongole kwa camera man wa kujitegemea. Updates: Polisi yachukua hatua, yalaani vikali kitendo hicho
  5. T

    SI KWELI Mbu akimng'ata binadamu, yeye hufa hapo hapo

    Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kuwa mbu akimng'ata binadamu basi mbu huyo anakufa hapo? imekaaje hii wakuu?
  6. kyagata

    Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
  7. J

    Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  8. Swahili AI

    Mbu wa Dar ni mdebwedo

    Mbu wa Dar wanatongoza kabla ya kung'ata uatasikia nzuuu nzuuu nzuuu, ukiwapush wepesi kinoma, dawa za kuchoma tu wapo hoi bin taabani. Mbu hana afya kabisa..... Mbu mwembamba kama sisimizi...... Mbu kakondeana kwa utapiamlo mkali..... Mbu anahitaji msaada wa haraka ICU direct.. Malaria yao...
  9. Tuo Tuo

    Djibout imeachilia mbu waliobadilishwa vinasaba kupambana na malaria

    Nchi ya Djibouti imeamua kutumia njia tofauti baada ya kuona wanazidiwa na malaria. Imekua ni nchi ya pili baada ya bukina faso kufanya kitu kama hiko. Kwa nini Djibouti inatoa mbu waliobadilishwa vinasaba? Malaria huua zaidi ya watu 600,000 kila mwaka duniani kote. Malaria ni ugonjwa hatari...
  10. Mathanzua

    Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

    CHANZO NI BBC SWAHILI Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni inayoua watoto wa kike kabla ya kukomaa. Mbu jike pekee ndio wanaouma na kusambaza malaria na...
  11. Jaji Mfawidhi

    Kuchuja mbu na kumeza ngamia - Serikali za Afrika

    Watawala wa Africa tofauti na viongozi wa "ulaya' wao wana mambo yao , wanaamini hivyo na huwaambii kitu! Vyeti feki --------matokeo Halali. Walimu feki ---- Wanafunzi Halali Phd Feki ------ Ubunge halali. Ubunge feki ----- Phd Halali Manabii feki -- Imani halali. Njia haramu -- Matokeo halali...
  12. Roving Journalist

    Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi. Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo...
  13. Wizara ya Afya Tanzania

    Mambo ya kuzingatia katika Kudhibiti Mbu waenezao Malaria, Uchunguzi wa Ugonjwa na Tiba sahihi ya Malaria

    Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano; Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya nyumba ni njia fanisi ya kuua mbu waenezao malaria na hivyo kupunguza maambukizi ya malaria...
  14. BANGO JEUPE

    INAUZWA Nauza taa za kuchaji zinazoua mbu na wadudu wengineo

    Taa ya kuua Mbuu Na Wadudu mbalimbali Ni Ya Kuchaji Inaua Mbuu Na Wadudu mbali Kwa Shoti Maalumu Haina madhara kwa binadamu, Ikishachajiwa na kuwa full chaji inaweza tumika masaa 48 haina gharama ya ziada zaidi ya kuichaji Pia Inatumika kama taa ya kawaida ili kupata mwanga Battery 4000 BEI...
  15. Unasemeje

    KWELI Taasisi ya Afya Ifakara huzalisha Mbu maalum kwa ajili ya utafiti wa Malaria

    Aloo, hawa mbu wa Ifakara mbona kama siwaelewi hivi? Nimeweka neti wako nje ila bado wanang'ata, hapo miguu haijagusa neti ni kama wanatumia wireless. Nimeuliza wenyeji wakasema kuwa mbu hawa ni spesheli wameletwa kwenye mradi wa utafiti wa malaria. Hii ni ajabu sana.
  16. E

    NEMC soko la Kilombero Arusha makelele mpaka Mto wa Mbu

    Mjipime....sio kukurupuka jikiteni huko Magomeni na Unga ltd
  17. L

    Kama tukifuga wale mijusi weupe nyumbani tunaweza kuondokana na tatizo la mbu

    Aisee hii mijusi ni msaada sana kwenye ulaji wa mbu, na kimsingi wanasaidia kupunguza idadi ya mbu nyumbani. Sasa hivi home nina mijusi 100, huwa sihangaiki kupiga dawa siku hizi. Mambo yanaenda naturally.
  18. R

    SoC03 Taa ya umeme inavyoweza kutokomeza malaria kwa kunasa na kuua mbu

    TAA YA UMEME INAVYOWEZA KUZUIA MALARIA KWA KUNASA NA KUUA MBU Utangulizi Malaria ni miongoni mwa magonjwa ambayo yamekuwa tatizo kubwa na umekuwa ukiuua watu miaka hadi miaka. Malaria husababishwa na mbu jike ajulikanaye kama Anofelesi. Katika nchi zinazoendelea malaria ni ugonjwa unaosababisha...
  19. Gentlemen_

    Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

    Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi. 1. Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3). Yaani mpk mbu afe ni umloweshe na hiyo dawa ndio atakufa ila ukipuliza kama inavyoelekezwa upulize ktk mazingira ya eneo...
  20. Blaszczykowski

    Kwanini wavuta bangi hawasikii kero za Mbu?

    Majuzi kati nilikuwa mitaa ya Sinza kupiga misele kwa washkaji nilikaa kama siku 4 hivi siku 3 zilikuwa za mateso kwangu uyu mdudu anaeitwa MBU. Hata awe mmoja ndani siwezi lala sasa uyu mwenzangu ni mtu wa ganja yaani ganja ni kolee jamaa akilala hasikii mbu wala shangazi yake mbu...
Back
Top Bottom