Salamu wana bodi.
Kuna haja ya ustawi wa jamii kuongeza mikono yake kuwafikia watoto hasa walio na umri wa chini ya miaka 5, wanao ishi katika mazingira magumu.
Kuna wakati, Dunia inazunguka na kumuweka mtoto katika mazingira magumu sana, mpaka unajiuliza mtoto ameikosea nini hii dunia mpaka...
Tundu Lissu kupitia akaunti yake ya mtandao wa X amewachochea Wamasai wa Ngorongoro wasihame kwa hiari kwenda Msomera, Handeni. Nimeshtushwa mno!
Nimejiuliza, Lissu ni katili hivi kumbe? Kumbe Lissu ni adui wa ndugu zetu Watanzania wa jamii ya Wamasai? Kwa sababu wahenga wanasema adui yako...
KILA SIKU KUNA WATU WANAFANIKIWA KWENYE MAZINGIRA UNAYOONA NI MAGUMU.
1. Kipindi unalaani mahusiano kuna ndoa kila siku zinafungwa.
2. Kipindi unasema hakuna ajira kuna wanaoajiriwa kila siku
3. Kipindi unasema biashara ngumu kuna ambao wanauza mpaka wanakataa wateja.
4. Ukisema mshahara mdogo...
Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders.
Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
Wasalam mabibi na mababu...
Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura.
Katika Jambo lililonishangaza ni kuona wimbi la walimu kuomba hizi nafasi, imani yangu inaniambia hizi ilikuwa n nafasi za kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.