Wakati wa Mungu ukifika hakuna anayeweza kuuzuia.
Huu ni wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania na Watanzania dhidi ya siasa za kitapeli, kuhuni na kifisadi ambazo zimefanywa na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sasa na kuwafanya Watanzania wazidi kuwa masikini bila maendeleo ya uhakika kwa...
Matapeli wa telegram walivyogonga Mwamba kunitapeli
Walinicheki na kazi ya kutoa review kwenye hotel za Dar google map ,
Wakaniuliza , jina, umri na occupation (Alert)
nikawajibu . Kanitumia hizo link tatu nikarate , kanirushia Pesa ya malipo ya hizo nilizo rate .
Baada ya hapo akaniderect...
Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
Huwa nashangazwa na kukerwa sana na tabia ya kina dada baadhi kupost picha za mitego mitandaoni kisha baadae kujitokeza na kulalamika picha zao kutumika kufanya utapeli. Kina dada wa aina hii wanastahili kucharazwa viboko hadharani. Mbaya zaidi wakati wakilalamika huporomosha matusi ya nguoni...
Nimekumbuka niliingia bar kubwa kinywaji nilichouziwa bei ilikuwa zaidi ya thamani ya ukweli ila nilipotaka kulipia kwa vile mimi na VAT na TIN kama mfanya biashara ilikuwa ni kukwepana tu.
TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali.
Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina utaratibu huo.
Niombe umma kuwa makini Na matapeli wanaotaka kutumia mwaka huu wa UCHAGUZI kutapeli...
JESHI la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kukutwa na laini 9,389 za mitandao ya simu walizokuwa wakitumia kufanyia matukio mbalimbali ya uharifu kwa njia ya mtandao na unyang’anyi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi (SACP) Safia Jongo ametoa...
Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu.
Na kudhihirisha ulaghai wao, walitoa tangazo kabisa la kuhakikishia watu uwepo wa match na kuwa waendelee kukata ticket...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kama wanaume wangekuwa waadilifu, wenye Haki, upendo, Akili na kupenda UKWELI. Ni wazi Wala tusingekuwa na vuguvugu na harakati za kumkomboa Mwanamke, sijui Haki za Wanawake. Kusingekuwa na mambo ya women empowerment.
Lakini baada ya wanaume wengi na Wala...
Nipo mkoa X nilishangaa kuona mkoa ambao unaweza kuchukua kufikia masaa 14 kufikia kuwa wanaitaji uwezeshwaji wa nyumba ya ibada.
Hivi hii tabia ilianza pole pole sana ila imekuwa kama muendelezo.
I. USULI
Usanifu wa hoja makini, kulingana na maandiko ya Crusius na Channell (2015:13-15) hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo:
Kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu (inquiry),
Kufanya ushawishi ili watu...
Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.
Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?!
Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo
Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe
Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri
Mimi huwa sina...
Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio account na namba nawaombeni msijaribu kufanya mawasiliano na hio namba. Ili kujihadhari na watu kama hawa...
Kwa jina la Yesu × 100. Kwa damu ya Yesu× 100, Nakataa, navunja kila aina ya uonevu. × 100 raparakashaaaaaa, horooooshiba sakorabokoo shakantilal nakataa kuonewa rapa shakaraaaaraaata. kwa damu ya mwana kondoo nakataaa.
Eperiiya shakatabaka, iperrerebiya , kwa jina la Yesu🙂🙂 Jina la Yesu...
Nimefika nyumbani muda huu namkuta dogo yupo busy kwenye simu yake anatrade kwenye hii kampuni ya mtandaoni
Anadai nimsaidie ku withdraw na Mimi nikamwambia awatafute customer care wamsaidie lakini baada ya kuwatafuta wapo wanamzungusha tu
Badae nimemwambia aachane nao
Sasa najiuliza hii...
MCHA MUNGU na MCHA DINI NI watu wawili tofauti.
MCHA MUNGU anaishi kwa kumtii Mungu moyoni mwake tena kwa hiyari bila shurti lakini MCHA DINI anaishi kwa kuwatii viongozi wa dini yake zikiwemo sheria walizozitunga kwa ajili yake!
MCHA MUNGU anatambua fika kwamba kila alitendalo liwe la Siri au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.