Popote utakapotembelea mitandaoni iwe twita au ama Instagram ya maria utagundua ndie mwanzilishi wa vuguvugu zote za chadema ! Hata wakati wa uchaguzi maria alitumia mtandao wa x kumbagaza sana freeman mbowe na kutishia waliokuwa wanamuunga mkono mbowe!
Maria sarungi akiwa space amekuwa akitoa...
Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao.
Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na...
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema.
Mwita ambaye amezungumza na wanahabari...
Awali ya yote nachukua fursa hii kutoa pole kwa familia , Wana - Rorya na Watanzania wote kwa ujumla kwa kuondokewa na Mzee wetu , Daktari Bingwa wa Mifupa Professor Philemon Mikol Sarungi.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Mengi yamesemwa tayari kuhusu Professor Sarungi na...
Wakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
Inatupa moyo kujua kuna Watanzania wazalendo wa kweli ambao wameweka sababu za kuwa hapa Dunia. Sio Machawa ambao wanaishi akili na moyo upo kwenye matumbo
Namtabiria huko mbele Maria atapewa Nobel price
https://youtu.be/FaN8lS_XNX0?si=mIbPy6Vr4WLKVKIo
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.
Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.
Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.
Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye ni Mtoto wa marehemu Prof. Philemon Sarungi amesema miongoni mwa sababu iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake ni pamoja na Suala zima la Usalama wake.
Maria amesema hayo leo Machi 10, 2025 wakati alipotoa salaam kwa njia ya mtandao wakati wa...
Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
โNimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof...
Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM.
Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo?
Nauliza kwa sababu hadi...
Wakuu nimekutana na hii taarifa mtandaoni kwenye magroup ya facebook. Je, ni ya kweli?
===
๐ ๐๐ฅ๐๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐จ๐ก๐๐ ๐๐ง๐ข๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐
Mwanaharakati Maria Sarungi ameweka wazi msimamo wake kuhusu CHADEMA, akieleza kuwa kwa hivi sasa hayupo tayari kukichangia chama hicho.
Ameeleza kuwa sababu kuu...
Kama Maria anataka kufanya majadiliano ya matukio yanayotokea hivi sasa, ni lazima afanye kistaarabu,bila kutukana.
Kila siku tunaona watu wanajadili current events katika talk radio.
It is encouraged by the government and it is helpful for everyone if people discuss the events which are...
Maelezo yake ni dhahiri ya kupikwa, hayana uhalisia hata kidogo. Script haikuandaliwa vizuri.
Kwakua mwanaharakati huyo amekua akipuuzwa kwa muda mrefu katika masuala mbalimbali anayojaribu kuyaibua kwa manufaa yake binafsi na nia zake ovu, ameona kutumia njia hiyo ya kujiteka ili kuvuta huruma...
"Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi.
GENTAMYCINE sijawahi kuona Watekaji wanaomuogopa yule Waliyemteka halafu Wanawasiliana kwa Uwazi...
Wakuu,
Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali.
Maria amesema kuwa kitendo cha watekaji kuwa kumzungusha sehemu mbalimbali na kutaka simu zake na passwords zake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.