The marathon is a long-distance race with an official distance of 42.195 kilometres (26 miles 385 yards), usually run as a road race, but the distance can be covered on trail routes. The event was instituted in commemoration of the fabled run of the Greek soldier Pheidippides, a messenger from the Battle of Marathon to Athens, who reported the victory. The marathon can be completed by running or with a run/walk strategy. There are also wheelchair divisions.
The marathon was one of the original modern Olympic events in 1896, though the distance did not become standardized until 1921. More than 800 marathons are held throughout the world each year, with the vast majority of competitors being recreational athletes, as larger marathons can have tens of thousands of participants.
Waandaji wa Rock City Marathon Mwaka jana 2023 walitangaza kuandaa mbio za Rocky City Marathon na kuanza kukusanya ada za ushiriki ambao zilitakiwa kufanyika tarehe 2 November 2023.
Baadaye wakatangaza kusogezwa mbele kwa mbio hizo mpaka tarehe 4 December 2023, siku kadhaa baadaye wakatangaza...
Habari zenu wakurungwa!
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo
Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa...
Mwanariadha kutoka tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kushindana na manguli wenzake kama Joshua Cheptegei wa Uganda kwenye mbio za delhi half Marathon mapema leo jumapili tarehe 20/10/2024 huko New Delhi, nchini India.
Nimeona matamasha na marathons nyingi zikifanyika kwenye majimbo na mikoa walipotokea viongozi wakubwa wa nchi hii.
Mfano ni Tamasha la Kizimkazi lililomalizika hivi majuzi na lilifanyika kijijini alipotokea Rais Samia. Pia hivi majuzi tulishuhudia Tulia Marathon huko Mbeya alipotokea Spika...
MEJA Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambaye pia alikua mwanariadha aliyeng'ara katika medani ya mchezo wa riadha Olympic mwaka 1974 Filbert Bayi pichani juu amesema kuwa Shule yake inakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya barabara.
Tangu nianzishe Shule hii ya Filbert Bayi...
Karibuni Visiwani kwa ajili ya Bwejuu International Marathon itakayofanyika tarehe 09 Disemba 2024.
Pesa zitakazokusanywa zitapelekwa Nungwi kusaidia waathirika wa dawa za kulevya.
NB: Marathon itaanzia Bwejuu - Ukorongoni -Charawe -Chwaka na kurudi tena Bwejuu.
Mungu akinijaalia afya njema mwakani na mimi nitashiriki ...niko hapa viwanja vya farasi naona watu wakiinjoy sana...,nitaanza kujifua rasmi nikimbie km42...nichukue zawadi ya 10mil..
Naomba kuuziwa kit ya marathon time hii kwa ambaye hutaweza kushiriki kwa namna yoyote na ulijiandaa,
Mods msifute hii thread sababu watu hushindwa kwa namna mbalimbali ikiwemo msiba na safari hivyo sio mbaya kuomba backup, na hamna sehemu nyingine ya kuwapa backup isipokuwa hapa where we dare...
Leo aubuhi nimefuatilia shindano la Olympic kule Paris la mbio ndefu ya kilomita 42 na mwanariadha Ndugu Simbu akiwa mshiriki toka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa kweli matokeo yake hayakuwa mazuri kwa kushika nambari 17 akitumia saa 2:10: 03
katika mbio hizo. Pole sana. Rudi nyumbani...
Pichani : Kutoka kushoto ni Magdalena Shauri, Gabriel Gerald Geay , Jackline Sakilu na mwisho ni Nahodha Alphonce Felix Simbu.
TIMU ya Taifa ya Riadha itakayoiwakilisha Tanzania katika michezo ya Olimpiki Paris 2024, imewasili jijini Dar es Salaam leo Agosti 6 ikitokea kambini jijini Arusha...
Gavana wa Jimbo la Haut-Katanga, Jacques Kyabula (katikati) akimkabaizi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 50,000 Waziri wa Afya, Joseph Nsambi Bulanda wa Haut-Katanga (watatu kulia), zilizokusanywa katika CRDB Bank Marathon Congo iliyofanyika leo Agosti 4 2024 katika jiji la...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo Dkt. Suleiman Selela atakabidhi bendera na kuiaga timu ya Taifa itakayoshirikikatika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto inayoanzasiku ya Ijumaa Julai 26 hadi Jumapili Agosti 11, 2024 jijiniParis na miji mingine 16 nchini Ufaransa...
BAADA ukimya wa muda mrefu , Timu ya Taifa ya Riadha ipo kambini Sakina , Arusha tayari kuanza kuendela na maandalizi ya mashindano makubwa ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai 26 hadi Agosti 11 huko Paris Ufaransa.
Tanzania itawakilishwa na wanariadha wanne ambao wanakimbia mbio ndefu...
HABARI YA MJINI KWASASA NI MSOGA MARATHON, KUUNGURUMA JUMAMOSI HII JUNI 29 ILI KWENDA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO
💥Usajili wake unaendelea nchi nzima, Zoezi la Ugawaji Vifaa kwa ajili ya kukimbia na Msoga Marathon linaendelea
💥Jisajili sasa upate vifaa vyako ili Jumamosi tukate...
BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la Riadha Tanzania (RT),imefunguka kuwa kambi hiyo itaanza mapema wiki hii.
Tanzania itawakilishwa na...
Source ya marathoni ni pale bikra maria alipokimbia na kukimbi na mwanae yesu baada ya kuwa pilato anatafuta kuwachinja watoto wote wa kiume.
Tuwape wakatoliki maua yao. Hata valentine chanzo ni Mtakatifu Valentine.
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka chini ya udhamini wa Tulia Trust iliyo chini ya Mheshimiwa Speaker wa bunge la jamuhuri ya muungano wa...
KATIKA kuadhimisha Siku ya Afrika 'Africa Day', Tanzania itaadhimisha kwa tukio hilo kwa mbio zitakazokwenda kwa jina la 'Africa Day Marathon' zitakazopambwa na wanariadha nyota wa zamani na wa sasa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wakili...
Mwanariadha wa kimataifa wa mbio ndefu (marathon) Gerald Gabriel Geay ameanzisha kampuni ya utalii inayoitwa Geay Safaris and Tours ambapo makao makuu yake yapo huko Arusha, Tanzania.
Geay ni mwanariadha mwenye mafanikio na mwenye udhamini wa kampuni ya adidas, pia amejichukulia umaarufu Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.