Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema michango ya wadau waliojitolea kwenye tukio la maporomoko ya tope ilikidhi mahitaji ya kujenga nyumba zote za wahitaji 109 za waathirika wa maporomoko hayo ambayo yalipelekea vifo vya watu 89.
Nyumba hizo ambazo zimejengwa na Serikali ya Awamu ya Sita...
Watu 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kuharibu makazi katika vijiji kadhaa mashariki mwa Uganda, wilayani Bulambuli jana Novemba 28, 2024.
"Kuna vifo vya watu 15 na tuna hofu kuwa bado kuna miili mingine mingi...
Agosti 5, 2024 kumefanyika makabidhiano ya mradi wa ujenzi wa nyumba 74 za waathirika wa maporomoko ya matope zilizopo katika eneo la Warret Wilayani Hanang kati ya Suma JKT na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara
Ujenzi umekamilika kwa asilimia mia moja (100%) ambao ulianza machi 18 2024 chini ya...
Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara
Uhalisia wa hali ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa waathirika wa maporomoko yaliyotokea katika Wilaya Hanang, Mkoa wa Manyara.
Kumekua na wimbi la waandishi uchwara na wapotosha taarifa bila kuchukua muda...
UPDATE
Kituo cha Taifa cha Majanga kimeomba Msaada wa Uokoaji kwa Jumuia za Kimataifa na kueleza kuwa takriban Watu 2,000 wamefukiwa na katika Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Mei 26, 2024
Kituo hicho kimesema bado idadi kubwa ya Wanakijiji wamezingirwa na Vifusi, hawana msaada wowote na hali...
Utangulizi;
Kurahisisha ufikishaji wa umeme nchi nzima na utoshelevu, ni lazma vyanzo vipya vya uzalishaji wa nishati viongezeke kutokana na mazingira husika. Kama sehemu yenye milima iliyo na maporomoko ya maji Kama njombe na milima ya upare, ambayo ina maporomoko mengi ambayo hayatumiki...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati 80 unaotekelezwa kwa pamoja na nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi umefikia asilimia 99.9 na nchi hizo tayari zimeanza kupata umeme kutoka kwenye mradi huo.
Dkt. Biteko...
https://youtu.be/FHNY4s5ekxk
"Mnamo saa kumi na mbili asubuhi, nilikuwa nimelala ndipo mume wangu aliponiamsha, akiuliza, 'hilo si tetemeko la ardhi?' Mimi na watoto wetu tulianza kukimbia nje, lakini tulijikuta tumezungukwa na matope kila mahali, na yalianza kutuburuta. Tulikwama kwa saa...
SERIKALI imesema kumeguka kwa sehemu ya Mlima Hanang ambao ilikuwa una miamba dhoofu iliyonyonya maji ndio chanzo cha maporomoko yaliyoleta maafa katika eneo hilo la Hanang mkoani Manyara.
Maporomoko hayo ya matope yamesababisha vifo vya watu 65 na majeruhi zaidi ya 100 huku mamia ya wanachi...
YAWEKEZA MILIONI 214 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAPOROMOKO YA ULUGURU
Serikali imesema imewekeza fedha kiasi cha shilingi mil. 214.3 kuboresha miundombinu ya barabara katika kivutio cha utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro.
Hayo yamesemwa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu...
Hali hiyo imetokea katika Majimbo yaliyopo Kaskazini na Magharibi ikielezwa mvua kubwa ilinyesha usiku wakati watu wengi wakiwa wamelala na kuwa chanzo cha kusababisha vifo vingi.
Viongozi wa Serikali za Mtaa wamesema nyumba nyingi zimeharibika na nyingine zimeanguka wakati barabara kuu katika...
Takriban watu 100 wamekufa katika moja ya dhoruba mbaya zaidi zilizoikumba Ufilipino mwaka huu huku wengine kadhaa wakihofiwa kutoweka baada ya wanakijiji kukimbilia kwenye njia iliyokumbwa na maporomoko ya udongo na kufukiwa na matope yaliyojaa mawe.
Watu takriban milioni 2 wamepoteza makazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.