Wakuu,
Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi.
Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo yanatakiwa kunangazwa yote huku nafasi ya Mwenyekiti ikiwa ni ya mwisho.
Pia soma: LIVE - Pre GE2025 -...
Naombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi.
Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10.
Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?
Ndugu zangu Watanzania,
Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.
Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.
Ni...
Mitandaoni watu wote wanaonekana kutokukubaliana na Mzee Wasira 80yrs kuendelea kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Its like siyo maono ya wana CCM kuwa na viongozi hawa tena kwenye ngazi muhimu kama hizi kwani wanaleta mkwamo wa fikra kwa Gen Z ndani ya chama.
Ushukuriwe utaratibu...
Mwenyekiti wa CCM amemtangaza Mhe. Pinda ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu kuwa mrithi wa Kinana. Wajumbe na wanachama sambamba na wananchi wameonekana kutopokea positive pendekezo hili au wameshtuka kwa kilichotokea. Je, walimtegemea nani?
Tukumbuke cheo hiki hakuna kugombania bali linapelekwa...
Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili.
Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza.
Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa.
1.Paul Kimiti
2.Abdulah Bulembo
3.Mizengo Pinda
4.Dr Bashiru Ally Kakurwa
5.Yusuph Makamba
6.Frederick Sumaye
7..Dr Asharose Migiro
8.Anna Makinda
9.Steven...
Yapo mapendekezo ya kumteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara. Ipo mipango yakumwandaa Innocent Bashungwa kuwa Waziri Mkuu ajaye endapo CCM itashinda uchaguzi 2025.
Endapo Majaliwa akiwa Makamu Mwenyekiti Bara ndoto yake ya kugombea Urais itaendelea au itazimwa? Endapo...
Uamuzi wa Heche wa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kukisaidia sana chama chake kwa sababu zifuatazo:
1. Hotuba yake imeonekana level heade. Kuingia kwa Heche katika kinyang'anyiro hiki kinafungua milango kwa kuwapa watu option ya kuwapigia kura Mbowe na Heche. Hii ina...
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.
Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.
Pili wabapoishi huishi na...
Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya...
https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya.
Nawatakia Krismas njema
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Heshima kwenu,
CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda.
Angalia, Kipara kipya, Magonjwa Mtambuka,lakini na wana CCM kiujumla wanavyoshupalia kumponda Lissu,na kutamani Mbowe agombee na aendelee kuwa...
Hii combination hata CCM wanaomba isitokee. Sina haja ya kuandika wasifu wao kwa kirefu maana sifa zao zinajulikana, Lissu hakopeshi, Heche jasiri, Lema mwanaharakati na hana bei, Mnyika anakijua chama tangu chuoni. Mbowe awe mlezi wa chama kama alivyo Mtei.
Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya.
Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako?
Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri...
Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu ,katika ndoto hiyo nilimuona mzee mmoja maarufu akiwa ni makamu wa Chama fulani. Baadaye nikasikia minong'ono kwa sauti ya chini sana sikufanikiwa kusikia kila neno lakini nilifanikiwa kusikia neno ' ndiye' nilipotaka kuuliza ndiye' Ina maana gani ndoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.