mabati

  1. S

    Mabati ya Taishan Mbeya

    ndugu mteja karibu kujipatia mabati ya taishan kiwandani mbeya mabati imara yanayostahimili vipindi vyote vya jua na mvua bila kupauka ○aina za mabati tuliyonayo migongo midogo migongo mipana (IT4 ,IT5) milano tiles (vigae) Usafiri ni bure hadi site ,punguzo la beimisumali lipo kwa mteja wa...
  2. K

    Mabati ya kampuni ya Taishan nani anayafahamu vizur?

    Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
  3. D

    Msaada kuhusu mabati aina ya Kiboko

    Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha, Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa 27,000 bati moja la msouth 30G na Alaf wanauza 37,000pc 30G difference ya Tshs. 10,000 nikahoji...
  4. G-Funk

    Naombeni kujuzwa retail prices za mabati kwa guages na size tofauti

    Wakuu kwema, Najua kuna watu wako kwenye hii industry ya hardwares hasa mabati. Nahitaji kujua bei yake ya madukani. Mfano mabati ya msauzi yale bei zake kwa gauges tofauti na size tofauti mnifahamishe tafadhali.
  5. Roving Journalist

    TBS yakamata Mabati 125,280 yasiyokidhi viwango, zoezi la kuyateketeza laingia doa

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa mabati nchini URHOME Company Limited kuhakikisha ndani ya siku tatu imewapatia taarifa ya mabati 2176 kati 125,280 baada ya kufanyiwa ukaguzi na kugundulika hayajakidhi viwango. Akizungumza na waandishi wa...
  6. M

    Msaada wa Mabati ya uchumi wa kati yenye kiwango

    Habari wadau....Naomba uzoefu na ushauri kuhusu mabati ya Uchumi wa kati kwa kampuni za Alaf, Sunshare na Dragon
  7. Chinga One

    Naomba kujuzwa namna ya kubaini Kampuni ya mabati bora na imara

    Wadau naomba tujuzane mbinu za kupata bati za kampuni bora kabisa ili tuokoane kwa hasara tunazozipata mara kwa mara. Maana kuna utitiri wa viwanda vya mabati jambo ambalo limepelekea tunapaua nyumba zetu kwa kununua bati kichwa kichwa,bati zenyewe zikipigwa na jua miezi 6 tu zinapauka balaa...
  8. L

    Asante speaker wetu mh Tulia Ackson mwansasu kwa mchango wako wa mabati mbozi

    Ndugu zanguni sote tunajuwa ya kuwa my Tulia no mbunge wa mbeya mjini, lakini katika Hali iliyowaacha Wana mbozi mdomo wazi Ni pale mh speaker alipokuja Jimbo la mbozi na wadau wake wa silent ocean na kuweza kusaidiaa mchango wa mabati karibu Mia mbili ili kuezeka vyumba vya madarasa katika...
  9. Kilobyte

    Nyumba ya container mpaka kibanda cha mabati

    Salaam wakuu. Katika pitapita zangu mitandaoni huku na kule, nilikutana na mjengo fulani wa macontainer. Kwa haraka haraka nikapiga hesabu nikaona ni more affordable kama unakimbia maisha ya kupanga. Nikahamishia research JF nikakumbana na bwana mmoja ndege JOHN aliyewahi kuwa na wazo kama...
  10. F

    Naomba kupewa elimu ya mabati na ubora wake

    Habari wanajamvi, Kama kuna mtu anayejua ubora wa mabati na kampuni ipi inazalisha bati bora nomba kufahamishwa
  11. U

    Naomba ushauri kuhusu tatizo la kuvuja sehemu za maunganisho ya mabati

    Wanajf mwaka huu nilifanikiwa kupata kibanda changu cha kuishi, tatizo nilipiga bati mwezi wa 9 mwaka Jana. Leo mvua zinanyesha kwa wingi, ninavujiwa kwenye zile "angles"za miinuko ya mabati Kama mjuavyo uezekaji wa kisasa! Ushauri wenu nini kifanyike!Msaada wa mawazo tafadhali.
  12. P

    Natafuta mabati Transparent, kofia na gata zake

    Wakuu habari, Niko Morogoro natafuta mabati ambayo ni transparent pamoja na kofia na gata zake. Mwenye kujua Morogoro yanapatikana wapi au Dar anijuze.
  13. Sky Eclat

    Paa hili licha ya kuhitaji mabati machache pia ni rahisi kujenga muundo wa kuvuna maji ya mvua

    Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa. Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na mabafu yawe upande mmoja na septic tanks ziwe upande huo. Upande wa pili unandaa kusima cha maji...
  14. B

    Wapi nitapata mabati ya bei rahisi migongo mipana?

    Wakuu habari Wapi nitapata mabati ya bei rahisi yale ya migongo mipana kwa mkoa wa Dar es Salaam. Bei hizo tofauti tofauti ni kiasi gani kwa kila gauge
  15. M

    Mabati used/rejected yanahitajika Dar

    Wadau naitaji haraka mabati ambayo ni used(yalio kwenye hali nzuri) au rejected kwa bei nzuri, kwajiri ya kujengea mabanda ya mifugo. Naomba offer DM! NB: Niko Dar es salaam.
  16. T

    Kwanini Mkurugenzi aibe mabati licha ya Mshahara mnono alionao?

    Ninasikita sana kuona nchi yetu ikiendelea kunajisiwa na watu wachache wasio waadilifu na wenye tamaa ya mali na utajiri wa haraka na mbaya zaidi wanatumia jasho la walipakodi. Ni aibu kwa kiongozi wa umma kushiriki vitendo vya wizi wa mali za umma ulizoapa kuzilinda kwa maslahi ya nchi. Kuna...
  17. msovero

    Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  18. Analogia Malenga

    DED wa Gairo na wenzake warudisha mabati waliyoiba

    Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale na watumishi saba wa halmashauri ya Wilaya ya Kilosa waliodaiwa kuiba mabati 1,172 wameyarejesha wilayani humo. Hivi karibuni, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslim alieleza kuwatia mbaroni watumishi saba...
Back
Top Bottom