Salama Jabiri "Ecejay"
Nilimfahamia kwenye kipindi cha Planet Bongo ambacho kiliurithi moto wa Hip Hop Base HOP kutoka kwa mwana Hip Hop, Saigon ambaye alikifanya kwa namna ya tofauti, kisha Salama akakiacha kwenye mikono ya Abdallah Khamis Ambua " Dulla Planet" ambaye naye akakibadilisha na...
UGANDA CENTRAL ( +256)
Hili lilikuwa jina la kipindi cha ngoma za Uganda pale East Africa Radio miaka hiyo (sijajua kama bado kipo maana sisikilizi tena redio).
Umewahi kusikiliza muziki wa Uganda?
Ulivutiwa na kazi za nani?
Wimbo gani unaukumbuka mpaka leo?
Binafsi nawakumbuka wafuatao na kazi...
Abdallah, Hasara Roho, D Timing, mtoto wa Kusini, mtoto wa Kiwalani, MTOTO WA MASKANI??
Mara ya kwanza nilimsikia kwenye ngoma yake iliyoitwa "Uwe Wangu" akimshirikisha Dully Sykes kwenye chorus na kuanzia hapo nikashawishika kumfuatilia.
Ngoma hii ilitengenezwa na Marco Chali akiwa Kama Kawa...
JOACHIM MARUNDA KIMARYO, MASTER JAY "MJ" MASTER MASTER TU!!!
Ukiachana na kumwona magazetini, kwa mara ya kwanza, nilimwona angalau katika picha jongefu kwenye video ya SINTOBADILIKA ya MIKE T.
Yeye, Papa Love, na Majani ni MIONGONI mwa watayarishaji wa Muziki huu wa mwanzo kabisa walioenda...
MKOSI JUU YA MKOSI
1. Nimeenda zangu kunywa uji kwenye chimbo moja jipya ila kwa kuwa nilikuwa na wana ng'ambo ya barabara, nikaamua nibebe uji ili nikajumuike nao.
Mhudumu akaniambia bei ya uji ni mia tatu na kama nilitaka KUONDOKA na kikombe basi niache chenji, mfukoni nilikuwa na jero...
FAMILIA YA ZORRO MIONGONI MWA FAMILIA ZILIZOTUNYIMA KOLABO KALI.
Sikumbuki ni nani alikuja na wazo la kutengeneza albamu iliyoitwa BABA NA MWANA! Ilikuwa ya moto sana na ilikuwa na ladha TOFAUTI.
Nakumbuka Francis Nguza na Nguza Viking almaarufu Papii Kocha na Babu Seya waliurudia wimbo wa...
THE UNDERGROUND TASTE WITH
THE BEST TRIO/ TRINITY
SISI THE TRIO
NIKKI MBISHI, ONE THE INCREDIBLE NA STEREO SINGASINGA.
Wachora ramani na wachonga njia ya Rap ya kisasa Bongo iliyojikita katika matumizi sahihi ya midundo ya HIP HOP.
Walimu wazuri na wakuu wa mtindo wa vina mshono ambao unaitwa...
KIUMENI, MAANDISHI MATATU
TMK WANAUME FAMILY
Pengine ni sahihi kama tukianza kuizungumzia Temeke kwa kuutaja uwakilishi wa mwanzo kabisa wa kundi lililofahamika kama Gangstaz With Matatizo ama kwa kifupi GWM.
Humo aliyesikika zaidi alikuwa Kaka Rashid Ziada (KR MULLAH CD 700 MUZIKI MKUBWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.