loss report

Weight loss, in the context of medicine, health, or physical fitness, refers to a reduction of the total body mass, by a mean loss of fluid, body fat (adipose tissue), or lean mass (namely bone mineral deposits, muscle, tendon, and other connective tissue). Weight loss can either occur unintentionally because of malnourishment or an underlying disease, or from a conscious effort to improve an actual or perceived overweight or obese state. "Unexplained" weight loss that is not caused by reduction in calorific intake or exercise is called cachexia and may be a symptom of a serious medical condition. Intentional weight loss is commonly referred to as slimming.

View More On Wikipedia.org
  1. kobosir

    Mfumo wa kusajili Loss Report Online unasumbua

    Huu mfumo naona hauko sawa tangu Jana. Nimefanya malipo mara mbili lakini maelekezo yanayotoka ya jinsi ya kupata document hayako sawa na ninachokiona lakini bill inaonekana haijalipwa na mbaya zaidi nanba zao zote 0736 121 266 na 0736 121 268 hazipatikani. Shida ni nini?
  2. gray hacker

    Mfumo wa loss report (lorms)

    Habari wakuu! Najaribu kujaza taarifa kwa lengo la kupata control number kwenye mfumo wa Police loss report bila mafanikio. Kama kuna mtu aliyewahi pata changamoto kama yangu anaweza nishauri alifanyaje akafanikiwa. Asanteni
  3. Mill broh

    Msaada: Mfumo wa Polisi unatoa invalid control number unapoomba loss report online

    Habari wakuu! Leo ni siku ya pili naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist. Nini kinaweza kuwa changamoto hapo wataalam?
  4. Trubarg

    Mfumo wa online wa loss report kunani?

    Habari wadau. Mfumo wa loss report wa online ulibuniwa ili kuweza kusaidia wananchi kupata huduma kwa haraka. Mfumo huu kwa sasa umeingiliwa sijui na mdudu gani, unaweza pata control number ukalipia lakini ukitumia same control number kutafuta loss report yako inskuambuia hakuna record. Sasa hii...
  5. Rurakha

    Mfumo wa polisi unatoa invalid control number unapoomba loss report mtandaoni

    Mimi leo nina wiki naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist.
  6. M

    Napata changamoto ya kupata loss report

    Wakuu nimekuwa nikihangaikia ishu ya kusajiri loss report na kulipia kupitia control number niliopata wakati wa kusajiri naona bado inaniletea ujumbe kuwa haijathibitishwa na nizaidi ya masaa mawili sasa hivyo nashindwa kuprint hiyo report. Vipi kuna cha ziada ninawezafanya hapo au ndio mpaka...
  7. Replica

    Mbunge: Simu zetu zinabeba taarifa nyeti na nzito, ataka Sheria itungwe kuzilinda. Ahoji ulazima wa 'Loss report'

    Mbunge wa viti maalum, Judith Kapinga leo bungeni ameongelea kuhusu sheria ya ulinzi wa data na utaratibu wa kuomba 'Loss report' LOSS REPORT Mbunge Judith amesema utaratibu wa kuambiwa kutafuta 'Loss report' pindi mtu anapoteza laini ya simu. Mbunge amesema tulipofikia mtu anasajili laini ya...
  8. kidereko

    Kuhusu upotevu wa Id na loss report

    Morning, Wakuu nimepoteza vitambulisho vyangu vya benki na NIDA, kwa upande wake benki,je inatakiwa nianzie polisi au niende bank kwanza labda Kuna karatasi watanipa yakwendanayo polisi!? Na je kwa NIDA hadi nije kupata kitambulisho kingine siitachukua miaka, maana naona Kuna watu Hadi leo...
  9. R

    Loss report mtandaoni: sipati control number

    Nimejaza smoothly kila kitu, ikija kweye control number inagoma kutoa control number. Nifanyeje kupata control number
  10. R

    Msaada: Namna ya ku register police loss report online

    naomba mwenye kujua namna ya kusajiri mali iliyopotea onlie anisaidie ie police loss report online register. Nikijaribu kufungua link inanipa error. How do i proceed?
  11. luangalila

    Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

    Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Police online loss report hamna kitu, ni uozo mtupu

    Nimejaza online loss report nimelipia, nimekaa zaidi ya masaa 24 report not approved. Mwaka jana nilijaza loss report ya vitu 4 nilipata report 2 instantly, vitu 2 vingine nilikaa wiki sijapata loss report. Sijaangalia kama walitoa au la. Imagine unakaa wiki moja bado panasoma not yet approved...
  13. Trubarg

    Kupatikana kwa Loss Report Mtandaoni: Kongole sana Jeshi la Polisi

    Ni hivi, loss report inapatikana online mwanzo mwisho. Huna haja ya kwenda kituo cha polisi kupanga foleni. Mwanzo swala hili lilikua kama ni nightmare coz lilikuwa linainvolve alot of excessive procedures ambazo zilicost muda na fedha. Now just your smartphone shughuli imeisha. Hongera sana...
Back
Top Bottom