kuvaa

Karen Margrethe Kuvaas (born June 14, 1947) is a Norwegian politician for the Norwegian Labour Party and since 2007 mayor of Narvik.
Kuvaas took over as mayor succeeding her party colleague Olav Sigurd Alstad following the 2007 election. In November she was one of the four Nordland mayors who fronted the municipalities case in the Terra Securities scandal.

View More On Wikipedia.org
  1. and 300

    Groomsmen wa Jux mlipaswa kuvaa vazi la Kitanzania sio pink vazi la ki-Nigeria!

    Inasikitisha Groomsmen wa Jux kuvaa Pink tena vazi la Nigeria! Tuwaeleweje? Bora hata mngevaa lubega la kimasai.
  2. fimboyaukwaju

    Kuoga na kuvaa

    1.KUOGA Usafi ni passion yangu toka nikiwa mdogo,japo mama yangu pia alichangia kuniongezea mbinu za usafi. Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi,suruali,shati,soksi,viatu na leso. Na kwa sasa situmii bomba la mvua,kwakuwa napenda kuchanganya maji ya kuoga na dettol japo siweki...
  3. Introv

    Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  4. J

    Je, ni Sawa Kuvaa Hereni

    Je, ni Sawa Kuvaa Hereni Maandiko yanavyosema kuhusu kuvaa hereni. Kitabu cha Hosea 2:13 Kitabu cha Hosea kinasema: “Nami nitamwadhibu kwa sababu ya siku za Mabaali, aliowafukizia uvumba; hapo alipojipamba kwa pete masikioni mwake, na kwa vito, asema BWANA”. Kitabu cha Waefeso 4:14 Tuzingatie...
  5. BUSINESS IDEAS ACADEMY

    Kuvaa shati moja kila siku sio umaskini

    Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa. Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake. Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza...
  6. sergio 5

    Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE kuvaa mlegezo akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali

    Mkongwe wa uholanzi Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE YAMAL NASRAOUI EBANA kuwa akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali Je Kuna uhusiano wowote kati ya mlegezo na kiwango cha mpira Mimi naona wakongwe wangenyamaza tu kila mtu ana uhuru wake binafsi namuona lamine Huwa anapendeza akivaa ivyo...
  7. Mchochezi

    IGP tunaomba upige marufuku tabia ya polisi kuvaa mask bila sababu yoyote

    Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda kuvaa hayati Yassir Arafat). Askari wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni wa kikosi cha kutuliza ghasia...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Kitendo cha Waziri Simbachewene kuvaa picha ya Samia badala ya nembo ya taifa, sio ishara nzuri

    Jana nilipata wasaa wa kumuona Waziri Simbachawene katika shuguli za kiserikali. Katika kutupia macho dress code yake nibaini amepachika nembo katika suti yake. Kusogeza zaidi nikabaini haikuwa nembo ya taifa bali ni picha ya Samia. Wakuu tumefika huku? Sikumbuki kama tumewahi kufika huku...
  9. Yoda

    Kwanini ni muhimu Zelenskyy kuvaa suti White House ila sio viongozi wengine?

    Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani! Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa...
  10. Lord denning

    CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

    Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu. Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha za kigeni za kutosha kushindwa kuwanunulia nguo na vifaa stahiki askari wetu wa Wanyamapori...
  11. ITR

    Kiongozi wa nchi kuvaa suti bila tai ikoje kiitifaki?

    Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai. Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
  12. Magical power

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️ Much respect to us🤛
  13. B

    Kilichonifanya nikaacha kuvaa suruali za kitambaa

    Ni muhimu sana kuwa makini. Unapoenda kwenye kadamnasi kubwa! Uzi tiyari🤣
  14. Waufukweni

    Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

    Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho. Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu...
  15. Jane Lowassa

    Kuvaa jezi ofisini kupigwe marufuku

    Huu mtindo unapata kasi sana. Upigwe marufuku kwasababu ni aibu kwa taifa. Ofisini ni sehemu ya heshima
  16. Manyanza

    Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

    Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
  17. Tabutupu

    Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

    Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini. Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia...
  18. Allen Kilewella

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na Kikwete waliwahi kuvaa Magwanda ya JWTZ walipokuwa Marais?

    Mwalimu Nyerere ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa kwanza baada ya Tanganyika kupata Uhuru na Tanganyika ilipoungana na Zanzibar kuunda Tanzania. Mwalimu yeye ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wakati wa vita ya Kagera na kwenye harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika. Ukiachilia mbali Mwalimu...
  19. Sky Eclat

    Kijana wa miaka 16 aliamua kuvaa suit ya skirt siku ya prom

    Prom ni sherehe ya kumaliza mitihani ya NECTA. Nisiku ambayo vijana wanavaa mavazi wanayopenda na huwa wanapendeza sana. Kijana huyu pichani aliamua kuvaa suit ya skirt, kitendo hiki kiliwasikisha wengi. Dunia hii tunakoelekea tunahitaji maombi na kufunga kwa sala.
Back
Top Bottom