Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu.
Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa.
Gari inayotarajiwa kumbeba kesho...
Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu.
Walipoanza tu msimu kila cku zilipokuwa zinakwenda tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, mfano Jobe...
KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba . Huenda kufikia leo yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu.
kama mambo yataenda sawa Leo au kesho Barbara Gonzalez atatangazwa kuwa Mwenyekiti na
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.
Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Hatimaye ile ndoto ya muda mrefu ya msanii wa singeli kutokea Temeke ukipenda muite London boy D voice jinii inakaribia kutimia siku chache zijazo.
Msanii D voice yupo wasafi muda mrefu sana, kula yake, vaa yake mpaka sehemu anapoishi yote ipo chini ya wasafi.
D...
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.
Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A
Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu...
Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile.
Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka...
Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini.
Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya Ubingwa inaenda Kutoweka na tayari Coastal Union FC ya Tanga wameshaapa, kulishana Yamini na kusoma...
Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!
Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la kuwaambia Wana Simba?
Jumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura.
Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli.
Siku moja...
Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa.
Haya yote ni matokeo ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania chini...
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga.
NB:
Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
Nina week nimebakiza niende kujitambulisha ukweni kwenye familia ambayo kwa jinsi binti alivyonieleza baba na mama mkwe ni wakorofi Sana.
Ameniambia pia nijiandae kujibu maswali kwani unaweza kuulizwa maswali ya maudhi yakakutoa kwenye reli au ya kawaida kwani familia yake anailewa jinsi ilivyo...
Ifike muda sasa Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iwepo kama enzi za Awamu ya Kwanza, ya Pili, ya Tatu na kidogo ya Nne. Bunge siyo sehemu ya kuingia Wahuni, Watu wakorofi, Vibaka na Watu wasiotaka kwa Makusudi kuhama eneo Hatarishi la Jangwani ambalo kila Siku tu Serikali...
Umewahi kupeleka mahari kisha hukurudi tena na ukaachana na ndoa? Umewahi kutolewa mahari na muoaji hakurudi tena? Umewahi kushuhudia mahari imetolewa na ndoa ikafia njiani?
Kwa kuwa tunafahamu mahari ni hatua ya mwisho kabisa kuelekea ndoa kipi kinaweza kusababisha mahari kutolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.