Napenda kuishauri serikali iunde chombo cha kusimamia biashara za mtandaoni ili kuziboresha na kupanua wigo wa walipa kodi.
Binafsi mimi ni mfanyabiashara wa online, kwa uzoefu wangu kufanya biashara online naweza kusema ni sehemu nzuri ya kufanyia biashara na inafanya iwe rahisi sana kwa...
Serikali imekusanya tozo ikatuambia kiasi kimefikia bilioni 48. Ni mwanzo mzuri. Lakini kilichonishtua ni namna zinavyokwenda kutumika; inauma Sana.
Matumizi yake katika ujenzi wa shule na zahanati yameelezwa yatajikita kwenye mfumo wa force account, naamini hapa ndipo tatizo la kupanga na...
Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni.
Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii
Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe
Mshahara : Tshs 150,000/=
Ikiwa unajiona unafaa...
Natafuta Crop Production Specialis wa kusimamia shamba langu lililopo Dodoma eneo la Zuzu nje kidogo ya Jiji la Dodoma. Shamba hilo ni jipya (halijawahi kulimwa) litaanza kulimwa kuanzia Oktoba 2021. Kazi ya kusimamia shamba hilo itaanza mwezi Oktoba 2021 na itaendelea kwa muda wa miezi 6...
Habari Wanabodi!
Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
Chanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga.
Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar.
Hakuwa mtetezi wa waharifu, hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno.
Chonde chonde Rais Samia tuletee huyu mama atuvushe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.