kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Ukiona vijitabia gani au viashiria gani ujue unakaribia kupigwa kibuti?

    Kabla ya kuachwa mara nyingi kunakua na vijitabia au viashiria ambavyo wenza wetu hutuonyesha ila kwa vile wanasema mapenzi ni upofu tunakua hatuvioni viashiria hivyo. Saa nyingine tunaviona viashiria vyote ila inakua ngumu kukubaliana na ukweli wa kuwa mwezangu anataka kuend uhusiano. Kwa...
  2. Leo kuna Bomu linaenda kupigwa Mochwari, halafu bado kuna Watu watafurahia na kujisifu hata kwa Kuandamana

    Ngoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na...
  3. M

    Ukikaidi amri halali, kupigwa ni haki yako

    Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
  4. U

    Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  5. Kujitia moyo kwenye kupigwa, kuzidiwa na kisha kulalamika wanapolipwa kisasi, kupo ndani ya damu za warabu na washika dini!

    Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini! Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa! Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui...
  6. S

    Dearby ya Simba na Yanga kupigwa KMC complex

    Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba SC na...
  7. Kuna namna wasanii wanafaidika nyimbo zao kupigwa katika Simba Day na Yanga Day? Matamasha yanaingiza pesa nyingi

    Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
  8. L

    Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu. Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
  9. Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

    Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
  10. Bashungwa: Barabara ya Ushirombo - Katoro Kuanza Kupigwa Lami

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Wakala ya Barabara (TANROADS) imekamilisha Usanifu wa Barabara ya Ushirombo - Nyikonga - Katoro na Sasa Serikali ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi wa kuanza ujenzi kwa kiwango cha lami kipande cha Ushirombo hadi Nyikonga (km 22.5), pamoja...
  11. G

    Kwenye biashara wahalifu hawapo mbali, uliwahi kupigwa tukio gani hutasahau?

    Unaweza kujichukulia poa una biashara yako inakuingizia visenti kadhaa lakini jua kwamba wahalifu wapo bize kujaribu kubuni mbinu za kukupiga wapate chao bila kuvuja jasho. Nakumbuka kuna kipindi kulijengwa frem mpya mahala, nikaona ile sehemu kwa jinsi ilivyochanganya nichukue frem, niliweka...
  12. G

    Vilio na kusaga meno kwa mawakala kupigwa vimezidi, Hapa nimeorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kupunguza utapeli

    Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:- 01. Usiwe na haraka kwenye kufanya muamala, haijalishi mteja atakuwa na haraka gani. Mruhusu aondoke kama anaonekana ana haraka, kwa...
  13. Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

    Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland? Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
  14. Ni sahihi kupigwa na Mwenzi hata kama umekosea?

    Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni mwa mashirika ya kutoa huduma za kifedha mjini, ameamua kwenda kuripoti kwa mjumbe baada ya...
  15. Wapalestina 300,000 wameondoka Rafah, pameanza kupigwa

    Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama na watoto wameuawa.... Displaced Palestinians arrive in central Gaza after fleeing from the...
  16. E

    TETESI: HAKUNA MATATA YA MARIOO KUPIGWA REMIX NNE

    Kuna TETESI kuwa hakuna matata nyimbo mpya ya MARIOO kufanyiwa remix nne Remix hizo ni kwa wasanii wafuatao 1. Diamond 2. Harmonize 3. Alikiba 4. Darasa Watu wanasubiri kuona ipi itakuwa Kali zaidi
  17. Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  18. Barabara ya Kibada - Mwasonga kuanza kupigwa lami, Bashungwa akagua athari za Mvua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
  19. Kupigwa na jua ni muhimu kuliko tunavyodhani

    Moja ya vitamin ngumu kabisa kupatikana kutoka kwenye vyakula ni Vitamin D. Mahitaji ya siku ya vitamin D kwa binadamu ni wastani wa 600IU(International Unit). Ni vyakula vichache sana vinaweza kukupatia kiasi hiki cha vitamin D kwa siku. Vitamin hii hupatikana kwa wingi kwa kupigwa na jua. Mtu...
  20. Kuelekea AFCON 2027, hiace zote kupigwa marufuku Arusha

    "Tunaanza mkutano na wadau kuwaelimisha watu wa bodaboda na bajaji na kupanga vituo,lakini pia wenzetu wa daladala ndogo (Hiace) muda wao kati kati ya Jiji umeisha” “Tunahitaji wawekezaji wa mabasi makubwa ,mabasi ambayo yanatakiwa yawe zero kilomita lakini pia yawe branded ili yawe na sifa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…