Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,837
36,581
Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi.

Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue muhimu ya Kitaifa unadhani kuna kitu gani cha maana ambacho viongozi wetu wanacho vichwani mwao vitaleta maendeleo kwa Taifa?.

View attachment 2978300
Nchi ya ovyo sana hii , yaani huwa naangalia majitu yalivyo nchi hii

Unakuta jitu lina kichwa kikubwa ila mambo linayoyafanya ni mithiri ya taahira au hayawani asiye na akili timamu .
 
off-time...kila pande lazima uzingatiwe, ukiwa serious sana utapasuka bongo
 
Aliyeingia mkataba wa Muungano, na pia kuianzisha ccm, hajawatendea kabisa haki wananchi wa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom