unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so inachukua miaka mingi..
Wakati kulikuwa na uwezekano kipindi ujenzi unaanza palepale inapandwa ya matunda...
Sidhani kama hii ni sawa jamani
Kwani haiwezekani kutoa Kadi bure? Au hata iwe elf moja kama za pantoni?
Kweli ni busara kuuza Kadi Kwa elf tano?
Hiyo Kadi ina mambo gani ya ziada?
Wahusika waangalie hili jambo Kwa hicho la Imani
1. Haya mambo ya Ticket za karatasi ndio maana watu wanapanda Dar-Dodoma kwa 1,000 Tsh.
2. Weka mfumo wa kulipa kwa Kadi maalum ya SGR mtu ana-scan gate linafunguka na akifika hatoki mpaka a-scan Kadi Yake. Nimeona nchi nyingi wakifanya hivyo. Na inspector awepo. Ukibambwa faini x100 ya nauli...
Kitendo cha kampuni za wazalishaji kutoagiza sukari nje ya nchi katika msimu wa 2022/2023, kulisababisha bei ya sukari kupanda na kuongeza hali mbaya ya upatikanaji wa sukari nchini.
Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), Profesa Kenneth Bengesi ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache...
Salaam,Shalom!!
Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika.
Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
Utangulizi
Kupunguzwa kwa gharama za intaneti ni suala muhimu linalogusa nyanja nyingi za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Tanzania, kama nchi nyingi za Afrika, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wa kidigitali kupitia upatikanaji wa intaneti nafuu na yenye kasi. Katika makala hii, tutaangalia...
Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini.
Kuna mambo machache serikali inapaswa kuyaboreaha Kwa vitendo ya majaribio sio matendo ya kisasa Kwa vifaa kila mwaka wa kilimo...
Habari wanajamvi,
Nisiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda bei kutoka mia tano hadi mia 6 yaani kimahesabu vocha zimepanda bei kwa asilimia 20,
This is daylight robbery and no one care.
Nikahisi labda Umakambako unansumbua aka...
Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini.
Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa...
Ukiangalia supply and demand ya import and exports, utagundua wakati huu wa awamu ya 6 ambayo imeboresha mazingira ya uwekezaji, kama nchi tuna demand kubwa ya bidhaa kutoka nje.
Hivyo gharama za usafirishaji bidhaa kutoka nje zilitakiwa zishuke na siyo kupanda kwa sababu ndani kuna soko la...
Baada ya kuingia Mama Samia kwenye usukani mengi yamefanyika likiwemo la kuwajali watumishi hasa upande wa madaraja,. Sasa leo badhi ya watumishi walioenda kwenye ATM kutoa chochote ikawa ndivyo sivyo.
Nikasikia malalamiko mbona nilikuwa napanda mwezi huu lakini sijaona mabadiliko kwenye...
Naomba kupata elimu kwa wataalamu wa barabara TANROAD kwanini matuta yanayowekwa kudhibiti mwendo kwenye mteremko, yanawekwa hata upande wa pili wa kupanda mlima?
Nina maana kuwa bumps kama hizo ziwekwe upande mmoja tu wa kuteremka, sasa kama unamuwekea mtu anayepanda mlima, unadhibiti mwendo...
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache. Mara nyingi watu wanapandaga hata kabla ya watu wote kushuka.
Aidha makondakta wanachangia kuongeza...
Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi.
Matatu ni neno la mtaa lenye maana sawa na daladala, au basi au Coaster nchini Kenya.
Jessica alikuwa amezuru Kenya pamoja na...
Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule, Mitaa/Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya , Mikoa mpaka Taifa. Mpango huu usimamiwe kikamilifu na Waziri mwenye...
Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?🤔
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.