kukua

Kukua is a village in Barguna District in the Barisal Division of southern-central Bangladesh.

View More On Wikipedia.org
  1. Mende mdudu

    Ulianzaje hadi uka komaa na kukua katika biashara yako?

    Binafsi nilipewa mbegu kumi za kahawa nikaziotesha adi sasa namiliki hekari 5 za kahawa Misenyi mkoani Kagera. Wewe je?
  2. Burure

    Wadada wetu wa vyuoni wanajiuza sana hasa kwenye sehemu za starehe

    Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini 1. Ugumu wa Maisha Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
  3. P

    Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
  4. Replica

    Yutong yafikiria kuanzisha kiwanda Tanzania baada ya soko lao kukua kwa kasi

    Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini. Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
  5. Eli Cohen

    Time after time Waafrika tunachukulika kirahisi na uchumi wa nchi zetu kukua kwenye graphs za kwenye makaratasi.

    Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa ILA, Ila naamini Uchumi sio hesabu. Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo. Binafsi naamini kipimo bora cha uchumi ni kupima ukuaji wa ubora wa maisha wa jamii masikini sana kulingana na huduma...
  6. BLACK MOVEMENT

    Rais Ruto aunda tume ya kukagua Deni la Taifa na kujua ukweli wake

    Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa. Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui. Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana...
  7. U

    SoC04 Utalii kukua kidijitali

    Utalii ni Neno Pana na lenye manufaa makubwa kwenye uchumi wa taifa letu la Tanzania. Uchumi wa nchi yetu ya Tanzania unategemea rasilimali mbalimbali ikiwemo rasilimali inayohusisha vivutio vya utalii na utalii wenyewe. Kutokana na umhimu wake kwenye pato la taifa utalii hutakiwa kutangazwa...
  8. 7

    SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
  9. Ghost MVP

    Mgawanyo wa Majukumu kwa Wanandoa Husaidia Kukua Kimaisha

    Bila kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, Jamii imekuwa stuck katika swala la mwanaume kufanya hivi mwanaume kufanya vile, Sipingi upande wowote ule ila ningependa Tujifunze kitu kidogo pamoja Tuangalie namna gani tunaweza Move fast kimaisha Tuangalie aina Kuu Mbili za Mahusiano na maisha ya...
  10. SuperHb

    SoC04 Ujuzi mashuleni ili kutengeneza kizazi cha kujitegema na kufanya nchi kukua kiuchumi kwa haraka

    UTANGULIZI: Elimu-Ni chanzo Cha Cha kuondoa ujinga, na kufanya jamii na mtu mmoja mmoja kuwa na uelewa wa mambo mbalimbali, yakiwemo ya Kisiasa, Kiuchumi na Kiafya. UMUHIMU WA ELIMU I.Elimu inasaidia kuondoa ujinga II.Inasaidia Kujitambua kama binadamu iii. Inasaidia kuchochea maendeleo Kwa...
  11. MALKIA WA TABASAMU

    SoC04 Nafasi ya wananchi kukua kwa maendeleo ya nchi

    Tanzania tuitakayo inahitaji watu wanaokua. Mdumao wa karne kwa karne wa Afrika sio kosa letu. Simaanishi tupo tulipokuwa, ila tunajongea kwa mwendo wa kinyonga ukilinganisha na mataifa kwenye mabara mengine. Tunadumaa kwa sababu dunia inaogopa tukifunguliwa tutakuwaje. Nchi kubwa kama...
  12. Tankile

    Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  13. Jumlisha

    Je, ni kweli kutokuosha nywele kunachangia nywele kukua kwa haraka?

    Bila kupoteza muda, habarini wana JF. Siku za hivi karibuni niliamua kuanza kufuga nywele, sasa kila mtu ananiambia ukitaka nywele zikue naambiwa niache kuziosha kabisa kwa maji. Nimefatilia kwa watu hasa jinsia KE naona nao wananiambia hivo hivo. Je, kuacha kuosha nywele ili kufanya zikue sio...
  14. Gulio Tanzania

    Hii ndiyo sababu kwanini mtaji wako unashindwa kukua

    Habari zenu wadau Leo nimekuja hapa nataka niwashirikishe sababu zinazofanya biashara nyingi kushindwa kukua na Nini cha kufanya ili biashara yako ikue Nipo kwenye biashara kwa muda mrefu Kuna mengi nimejifunza kipindi naanza biashara nilikuwa nayumbisha sana mtaji mtaji kushindwa kukua Kuna...
  15. GENTAMYCINE

    Kwa mlioko Uganda sasa ukilipwa Mshahara wa Ush za Uganda 9,000,000 siyo kwamba wanataka tu Kukua mapema kwa Starehe za Kufuru utakazofanya huko?

    Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Nimetoka Uganda mara ya mwisho mwaka 2002 baada ya kuwa huko kwa Miaka Sita ya...
  16. Yoyo Zhou

    Uchumi wa China watarajiwa kukua kwa asilimia 5 mwaka huu

    Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika, na suala la kiuchumi linafuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Katika ripoti ya kazi ya serikali iliyowasilishwa tarehe 5 kwenye mkutano wa Bunge la Umma, China iliweka lengo la ukuaji wa...
  17. P

    Maandamano pekee yanatosha kuonesha utekelezaji wa 4R na Demokrasia kukua nchini?

    Wakuu, Baada ya polisi kutoa tamko la maandamano kufanyika nchini, kila kona ni sifa tu kuwa 4R zimefanyiwa kazi, demokrasia imekuwa nchini, mama ametenda na kadha wa kadha, huku pongezi za akina Mbowe, Sugu zikitumika kama rejea ya kuwa hata wapinzani wenyewe wanakubali kuwa sasa Tanzania...
  18. D

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii. Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji pasipo kuchelewa ila Kuna wale ambao kutokana na sababu mbalimbali huchelewa kuendana na hatua za...
  19. Mr Q

    Kwanini kucha, nywele huendelea kukua hadi uzeeni na sio meno na viungo vingine?

    Pengine elimu ya viumbe ilinipita kando au mwalimu wangu hakugusia hilo katika ufundishaji wake au mimi sikukumbuka kuulizia hilo enzi ninasoma. Sasa Nakuja kwenu nikiamini mnaweza kunipa jibu litakalo nisaidia kuelewa ni kwanini baadhi ya viungo vya mwili kama kucha na nywele huendelea kukua...
  20. Kizibo

    Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
Back
Top Bottom