Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imetangaza kuanza Usajili wa Wakusanyaji na Wachakataji wote wa Taarifa Binafsi nchini ambapo imetoa muda wa miezi 6 kuanzia leo Aprili 10, 2024 kwa wahusika kukamilisha zoezi hilo
Watoa Huduma hizo wanapaswa kutekeleza wajibu huo kwa kufuata Kifungu Namba...
NECTA na Morogoro Sec ni mtandao wa wezi kwa watahiniwa binafsi. Kujisajili kidato 4 kwa Sh. 160,000 ni kubwa.
Nani anapanga kikomo cha kulipia kwenye vituo vya kufanyia mitihani watahiniwa binafsi?.
Nimefika shule ya sekondari Morogoro kumsajili kijana wangu afanyie mtihani wake wa kuhitimu...
Habari ya muda huu Wana JF,
Nimemaliza kozi ya utabibu NTA level 5 mwaka 2023, sasa nilikuwa kwenye process za kuomba leseni kupitia MCT, kwenye mfumo inagoma, nikitaka ku submit information baada ya kuzijaza inaandika.. ERROR; Your registration number does not match with the end year of study...
Habari wapendwa,
Hivi kujisajili taesa inakuaje au sasa hv mfumo haufanyi kazi? Maana toka juzi nahangaika kujisajili haifiki popote ina search kwa muda mrefu inaandika tu contacting website again nakuendelea ku load tena na tena mwishowe inaandika Google couldn't reach the internet. Sasa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital)
Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba...
Naomba msaidie dogo wangu afanyaje mana alikuwa hajui kama kajisajili postgraduate degree badala ya local undergraduate loan application.
Hivyo form inamsumbua hatari na ukiwapigia watu loan board hawapokei masimu!
Habari,
Kama bado sio Mwanachama wa Jamiiforums unaweza kujisajili kwa kufuata hatua hizi chache na rahisi zifuatazo:
1. Pakua App ya Jamiiforums kwenye kifaa chako (Simu au Kompyuta)
Katika hatua hii unatakiwa kupakua App ya Jamiiforums na ku-Install ndani ya kifaa chako. App hii utaipata...
Mitume na manabii wanaitoa huduma za maombezi kwa kutumia mafuta na maji wametakiwa kujisajili kwenye mamlaka rasmi zinazosimamia huduma hizo.
wale wanaouza maji wametakiwa kujisajili kwenue mamlaka ya maji na wanaouza mafuta wametakiwa kujisajili Food and Drugs Authority.
Wanafunzi wadaiwa kuingilia mfumo, waghushi malipo ada
Kwa kufanya hivyo, wanafunzi hao wanaonekana hawadaiwi, hivyo kukikosesha chuo mamilioni ya shilingi. Pia wanadaiwa kughushi stakabadhi za malipo na mihuri ya benki ili kujiridhisha kuwa hawadaiwi ada.
Uchunguzi wa kina ambao umefanywa na...
Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au vikundi hewa. Nimefurahishwa na usajili kutumia namba ya NIDA na siyo majina hewa kama tulivyokuwa...
Wafanyabiashara wanaoagiza mahindi kutoka Tanzania watahitajika kujisajili na BRELA, kupata kibali cha biashara na kuwasilisha cheti cha kibali cha kodi kilichotolewa na BRELA kabla ya kusafirishwa nje ya nchi
Notisi iliyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Tanzania inawataka wafanyabiashara wa...
Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly.
Kwanini sehemu ya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu maarufu kama (MAKISATU) kwa mwaka 2022. Ameyasema hayo leo 16 Februari 2022 wakati akiongea...
Baraza la tiba asili na tiba mbadala Tanzania limeagiza vituo vyote vinavyotoa huduma za kusinga maarufu kama “massage” kuhakikisha vinajisajili pamoja na kusajili watoa huduma wao kabla ya Machi 31 mwaka huu.
Baraza limeeleza kwamba usajili huo utafanyika kwa kituo husika pamoja na watoa...
Hali hii imeanza kuleta mashaka ndani ya chama cha zamani baada ya mtaji wake wa miaka mingi ambao ni wazee kuanza kumeguka kwa kasi .
Shida kubwa inayoikumba ccm Kyela ni sera yake mbovu ya kurudisha vyama vya Ushirika vinavyowakopa wakulima mazao yao ikiwemo cocoa , badala ya makampuni...
Habari zenu ndugu zangu, mimi kama mjasiriamali naweza kufanya kazi na kampuni (kwa kutoa huduma kwa makapuni na mashirika) as an individual? au lazima pia niwe na kampuni ndipo wanaweza ku consider proposal yangu?
Taratibu za mashirika na makapuni zikoje katika kufanya kazi na watu wanaotoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.