Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha
Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu.
Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka kwa mali yako, unahitaji kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha thamani ya jengo lako na kufanya...
Utangulizi
Land banking ni mbinu ya uwekezaji ambapo mtu au taasisi hununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukishikilia kwa muda mrefu, akitarajia kuwa thamani ya ardhi hiyo itaongezeka.
Kwa kawaida, maeneo ambayo hayajafanyiwa maendeleo, lakini yana uwezekano wa kuongezeka thamani...
Salaam, Shalom!!
Lile ongezeko la TSH 500 lililoletwa kinyemela miezi miwili iliyopita, imeondolewa kinyemela kimya kimya bila taarifa yoyote.
Ikumbukwe kuwa, ongezeko hili halikuletwa kupitia Utaratibu wowote kisheria, baada ya kelele na malalamiko mengi Toka Kwa wananchi, imeondolewa bila...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa kufidia madeni yaliyotakiwa kulipwa 2023/24.
Pia Soma:
-
Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo.
Hivi karibuni serikali imeamua kurudisha kodi ya MAJENGO kwa halmashauri kwa kigezo cha kuziongezea halmashauri mapato. Ila kwangu mimi Kodi kurudisha Kodi hii halmashauri wakusanyaji wakiwa watendaji wa vijiji italeta vita kubwa sana kwa wananchi wa...
Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo.
Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na ikiwa hajalipia kwa muda fulani mfano miezi 6 au mwaka mzima basi deni hilo lihamishiwe moja kwa moja...
Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu.
Thamani ya jengo la jirani...
Jana usiku umeme uliisha kwenye mita yangu. Nikanunua wa shilingi elfu 9 kwa tigopesa, nashangaa muamala unasitishwa kila naponunua. (Ninatumia tarrif ya chini ile) umeme wa elfu 9 unanitosha kwa mwezi mzima.
Ikabidi nipige simu tigo, wakaniambia kuwa mita inadaiwa shilingi laki 1 deni ya kodi...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA )kwa Kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunapenda toa ufafanuzi kuhusiana na Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki wa majengo ya Ghorofa kama kiambatanisho hapa
Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja.
Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei...
Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika.
Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kipindi ambacho mpangaji atakuwa katika nyumba ya mwenye nyumba.
Uwekezaji...
Kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo imekuwa ni chanagamoto kubwa kwa wengi. Changamoto hii inasababishwa na kukosa maarifa sahihi na kufanyia kazi maarifa sahihi.
Ili uondoe hofu ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo unahitaji kuwa na maarifa sahihi.
Maarifa sahihi yatasaidia kuondoa...
Je umefanya maamuzi ya kufikia uhuru wa kifedha kupitia majengo ya kupangisha?. Je umefanya maamuzi ya kustaafu mapema zaidi kupitia majengo ya kupangisha?.
Je upo tayari kuanza kumiliki majengo ya kupangisha ukiwa unaendelea na ajira yako?. Je upo tayari kuanza kumiliki majengo ya kupangisha...
Hii ndio taarifa inayofichwa na Mamlaka na ambayo inawachanganya wananchi, na wala ule uongo wa Viongozi kwamba Nyumba za Tope au za nyasi hazitatozwa hiyo kodi, sasa umedhihirika rasmi kwamba ulikuwa uongo baada ukweli kubaini kwamba kila nyumba inatozwa kodi ya jengo kupitia mita hizo bila...
Ndugu wanajamvi mbona Kama siwaelewi vizuri Tanesco. 29 Aug nilinunua Luku wakakata hela ya tozo sh 2000 ambayo katika maelezo Yao inasema Ni kwa ajili ya mwezi wa July sh 1000 na August sh 1000. Na baada ya Hapo wanasema watakuwa wanakata sh 1000 kila mwezi kwa sisi wenye nyumba za kawaida...
Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala kwa ajili ya Tozo na si lalamiko la tozo. Ni suala la utendaji tu
Hii imetokana na watanzania...
TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO.
Mwigulu Ayaone haya:
1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake!
2. Wawili wamependana...
[emoji117]Ila kuhusu kodi ya majengo kuna watu wanalalamika bure tu, Kodi hii ipo kwa muda mrefu na tumekuwa tukilipa kila mwaka kilicho fanyika ni serikali kuongeza wigo wa kuipata hiyo pesa maana kuna watu wengi sana wanakwepa kulipia kodi hii ya majengo
[emoji117]So kuilipa kwa kutumia Luku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.