Full Moon ritual
Universe Manifestation
Laws of Attraction
Medium
Astrology
Palm reading
Kwa kibinadamu zaidi, hizi hatua huonekana hazifungamani na roho yoyote.
Ni hatua zisizoonekana kuwapigia magoti fallen angels au kuwa mlokole au kuwa "shaheed"
Ila uhakika ni kuwa unfanya black...
Ndugu zangu salaam
Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na matusi kedekede nao walikua vijana kama nyie
Vijana ili muwe na maisha mazuri uzeeni lazima uishi sasa...
Freem Mbowe, kama kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, anaweza kuhusishwa na Mfalme Daudi wa Biblia kwa njia kadhaa. Mfalme Daudi anajulikana kwa uongozi wake wa busara, ujasiri, na uwezo wa kuunganisha watu kwa malengo ya pamoja.
Katika muktadha wa kisasa wa siasa za Tanzania, Mbowe...
Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia:
1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17)
Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda...
Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
Habari zenu wadau, ni Bob tena katika moja na mbili.....
Zamani wakati bado hakuna vifaa kama saa kwaajili ya kutazama muda, watu walikuwa wakitumia mbinu hii kujua wakati.( Sundials)
Walichora duara chini na kuandika namba tofauti za muda, kisha kuweka kijiti katikati.... Kadri jua...
Janabi alikuwa kijana mwenye nguvu na azimio kubwa, akiwa na ndoto ya kuleta matumaini kwa kijiji chake na ulimwengu kwa ujumla. Alitamani siku moja awe rais, daktari, au kiongozi mkuu ambaye jamii ingeweza kumshukuru sana. Hata hivyo, alipokuwa akikua, Janabi aliona mwenendo wenye wasiwasi...
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema.
Historia inatuambia, waanzilishi wote wa Chadema walikuwa Benki kuu. Yaani Mtei, Bob Makani na Mbowe na...
Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti.
Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya.
Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo.
Huyu Saba Sita...
Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
Hivi nani mmiliki wa Tanzania? Watanganyika hawaitaki, kadhalika na Wazanzibar.
Ikiwa wote hao hawaridhishwi na wala kunufaishwa na uwepo wa Tanzania, ni nani hasa mnufaika wake?
Ni kama vile Tanzania ni chombo kilichoundwa kwa lengo la kuinyonya Tanganyika na Watanganyika. Kwa nini nisiamini...
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mzimuni, Kata ya Kawe, Raiya Nassoro akifafanua kuhusu matukio ya Uhalifu maeneo ya Kawe katika eneo la Tanzania Packers.
Mtaa huo una Ulinzi Shirikishi ukiwa umegaiwa katika Mitaa saba, moja kati ya maeneo hayo ni eneo la National Housing, ni kubwa lakini...
Ndugu zangu katika pitapita zangu nimefanikiwa kufika mitaa ya Mbezi Luis karibu na ilipo Stendi ya Mabasi ya Magufuli, nadhani ile ni Kata ya Mbezi, kuna mambo kadhaa yanaendelea yanayohusu utapeli kama ilivyo kawaida kunapokuwa na purukushani za watu Jijini Dar.
Karibu na Daraja la kuelekea...
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.
Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka...
Nilihamia Kigamboni miaka ya hivi karibuni, moja ya kitu ambacho kilikuwa kinanipa uwoga kuhamia pande hizi kwanza ni kuvuka maji na pili niliona kama kumekaa kushoto sana.
Nashukuru Mungu uwoga wangu wa maji umepungua labda yawezekana kwa kuwa navuka sana baada ya kuhamia huku.
Hilo la pili...
KILA KITU KINACHOTOKEA NI UHALISIA ULIOCHELEWA "DELAYED REALITY"
Tumekuwa tukihamasishwa mara kadhaa kutokuwa watu wa kuongozwa na matukio( matokeo) na badala yake tumeshauriwa sana kuwa watu wanaoona tukio katika uumbikaji wake kabla halijatokea kwa sababu likishatokea tu linakuwa "uhalisia...
Mara ya kwanza kabisa kuitafakari nguvu ya Mahakama ya Tanzania dhidi ya Tawi la Utawala, ilikuwa kwenye kesi ya Hayati Christopher Mtikila dhidi ya Jamhuri kwenye kesi ya Mgombea Binafsi.
Kwenye kesi Ile baada ya Blah blah nyingi, hatimaye mahakama ikasema kuwa suala la Mgombea binafsi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.