Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu vinaendelea kuimarishwa sasa, wakati na baada ya uchaguzi na kamwe hawatakuwa na muhali na mtu yeyote...