kibarua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Natafuta ajira yoyote au kibarua

    Nikijina wa miama 26 mkazi wa Arusha nina leseni class D nina uzoefu ila nipo tayari kufanya kazi yoyote sehemu yoyote Mawasiliano 0699249137
  2. A

    Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia. Asante
  3. I

    Natafuta kazi (kibarua)

    Habari ya Uzima wanaJF! Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali. ✅Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi) ✅Najua vema kutumia kompyuta kwenye program zote. Naishi DSM, Asanteni sana
  4. sangaone98

    Natafuta kazi, kibarua au ajira

    Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF. Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja...
  5. N

    Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote ili niweze kuisadia familia yangu nikiwa na maana ya mke na watoto pamoja na mzazi wangu ambae ni mjane. Elimu yangu ni form 6 ila pia najua kutumia computer. Hata kama ni kibarua cha kulipwa kwa siku nipo...
  6. B

    Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

    Jinsia: Mwanaume Umri:21 Elimu: kidato cha 6 Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022 Fani: Udereva (leseni hai kwa madaraja A A2 D) Makazi: Arusha Nilikuwa naomba kwa atakae guswa au mwenye channel yoyote kuhusiana na kazi ya upagazi anisaidie...kwa muda wa huu walikizo za chuo niweze kupata...
  7. R

    Tumerudishwa tena kwenye habari mbaya Duniani; Naamini waliopanga hizi kamata kamata wanakwenda kupoteza kibarua

    Waliopanga hizi kamata kamata walikosea. Walishindwa kufahamu kwamba Dunia inaendeshwa kwa vyombo vya habari vya magharibi kuliko vya ndani. Al-Jazeera na BBC ni vyombo vikubwa, vinaweza kukijenga na utakumbuka awali vilivyotumika kupooza upepo wa JPM alipoingia Mama. Leo vimeingia Ulingoni na...
  8. Azoge Ze Blind Baga

    Natafuta kibarua chochote Mwanza

    Nipo Mwanza kama kuna tu ana connection yoyote ya kazi aniunganishe mtaani kugumu sana. Nina elimu ya degree na pia leseni ya udereva umri wangu miaka 35. Nisaidie wakuu
  9. Bonsipele69

    Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

    Assalam Allaykum, Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie...
  10. Hussein Obama

    Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

    Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
  11. Bonsipele69

    Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

    Habari zenu Wanajukwaa Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu, Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and transport management. Ninafahamu humu jamii forum Kuna watu wengi na tofauti tofauti ambao wanaweza...
  12. Mhaya

    Nimekutana na Mchina aliyekuja kama kibarua Tanzania ila sasa yeye ni Big Boss

    Jana kuna mchina nilikutanishwa nae ni CEO wa kiwanda cha uzalishaji wa marine boards, melamain boards, pliewoods na MDF ambacho wamekijenga pale Mafinga. Nilimuuliza ABCs za maisha yake hapa Tanzania na akanambia yafuatayo. 1. Yeye alikuja Tanzania kipindi cha ujenzi wa uwanja wa mpira wa...
  13. B

    Kocha wa Simba amelinda kibarua Cha AYUB LAKRED

    Robertino aliamua ku risk kibarua chake ili kulinda kibarua Cha Lakred. Afadhali aliamua kumpanga kipenzi cha Wanalunyasi (Manula) na kumuacha Lakred ili asije kufukuzwa usiku wa manane. Hivi ingekuwa vipi kama Robertino angempanga Lakred na akafungwa hizo 5G. Nadhani angetembea kwa mguu hadi...
  14. Pain 01

    Hawa Form 4 & Form 6 wanaopata ajira TRA huwa wanaajiriwa sekta ipi?

    Wakuu habari za kazi. Ladies and gents, Naombeni kuulizaa na majibu yawe yakuridhisha wakuu tafadhalini. Hawa form 4 & form 6 wanaopata ajira tra huwa wanaaniriwa secta ipi wakuu na pia mshahara wa vijana hawa huwa ina range namna ipi? Mawazo yako yatafungua wengine wakuu karibuni.
  15. M

    WanaJF nipeni kazi au kibarua, maisha ya malezi yasije nishinda kuhudumia

    Habari za humu ndugu wana JF natumaini wazima wa afya na tunasonga mbele, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Wadau nipeni kazi / kibarua nifanye nipate pesa za matumizi za kupata mahitaji ya mtoto mwaka kesho anaanza shule darasa la awali, chekechea, baadhi ya vifaa nimenunua kama kitambaa...
  16. Tommy 911

    Mwanachuo natafuta kibarua kipindi hiki cha likizo

    Habarini wana JF Mimi ni kijana ni Mwanachuo kwa sasa nipo likizo. Nahitaji msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki cha miezi miwili Posho hata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa. contact: 0621554787
  17. The bump

    Kibarua cha siku 1 (Kesho - Jumatano)

    Kwa kijana anaetafuta kibarua cha kufanya apate hela ya kuishi kwa siku ya kesho anakaribishwa kujiunga nami. Kibarua ni Kufyeka/Kusafisha/Kuchoma Moto Shamba la Heka Mbili. Shamba Lipo Mlandizi, Usafiri Kuja na Kurudi ni Juu yangu. Chakula: Asubuhi na Mchana ni Juu yangu. Idadi ya...
  18. I

    Naomba Msaada wa Kibarua

    Hodi na Salamu Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Elimu yangu ni ya Secondary. Nimekuja kwenu Kuomba Connection ya Kibarua cha kulipwa kwa siku, Nimeandamwa na msururu wa Madeni ya Kodi na kwa mangi. Nipo tayari kufanya Majukumu yoyote ilimradi yasikiuke Utu na sheria za nchi. Mungu...
  19. JanguKamaJangu

    Rasmi kibarua cha Antonio Conte chaota nyasi Tottenham

    Baada ya siku kadhaa za presha na tetesi hatimaye pande mbili baina ya klabu na kocha huyo zimeafikiana kuvunja mkataba na sasa timu itakuwa chini ya uangalizi wa kocha wa muda ambaye ni Cristian Stellini. Kwa maamuzi hayo Spurs inatafuta kocha wa nne ndani ya miaka miwili. Kabla ya maamuzi...
  20. God over everything

    Natafuta kazi, kibarua, msaada

    Amani iwe nasi Watu wa Mungu. Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua. Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi. Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana. Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6. Mbarikiwe...
Back
Top Bottom