Nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata nafasi ya kwenda kwenye interview Marketing agency flani hapa Dar. Walikuwa wanataka Social Media Manager unfortunately nikakosa ile nafasi. Wiki iliyofuata boss akaniita na kuniambia nimekosa ile nafasi lakini kuna nafasi ya Sales. Nikasema sawa nitaifanya...
Baadhi ya kazi ndogo ndogo zinazoweza kupa connection kubwa ukatoka kimaisha kirahisi
Hizi kazi zaweza onekana ndogo na mshahara mdogo lakini ukiwa mwaminifu sana na kufanya zaidi ya kazi umepewa rahisi kutoka kimaisha
Kazi ya kwanza ni u house girl .Ma house girls wengi waaminifu na wachapa...
Mimi niliona mfanyakazi mwenzangu analipwa $300 (750,000) kumtumia mwanaume soksi chafu alizokua amezivaa. Huyo mbaba alikua anapenda jasho la soksi za wanawake. Baada ya miezi kadhaa huyo dada aliacha kazi ili full time awe anauza nguo zenye jasho na ambazo ameshazivaa sharti la wanunuzi ni...
Habarini wakuu, Naitwa Richard Mashauri
Nimesoma degree ya uhasibu na teknolojia, nimejitahidi pambana kitaa na kazi mbalimbali ikiwemo ufreelancer azam pesa pamoja na kusupply mitungi ya gesi ila imetokea changamoto kwa sasa kwenye kazi yangu ya kusupply gas za kupikia, kama kuna mtu...
Katika jamii yetu, mara nyingi kazi zinazochukuliwa kuwa "za ovyo ovyo" au zisizokuwa na hadhi ya juu zimedharauliwa. Watu wamekuwa na dhana kwamba kazi kama hizi hazina mbele wala nyuma, hazilipi, na haziwezi kumtoa mtu kimaisha. Lakini ukweli ni kwamba, dunia ya sasa imebadilika, na mara...
Habari zenu wakuu, kama unahitaji kujenga ngazi za kisasa
"ngazi za kuelea elea"
nicheki nikufanyie kazi yako.
Hapo nimekabidhi kazi tayari, kilichobaki ni kutoa mbao za hapo chini tu.
Karibuni wakuu. Simu namba 0624254690
Habari wakuu.
Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa.
Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.)
Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi...
Wakuu habari za kazi.
Ladies and gents,
Naombeni kuulizaa na majibu yawe yakuridhisha wakuu tafadhalini.
Hawa form 4 & form 6 wanaopata ajira tra huwa wanaaniriwa secta ipi wakuu na pia mshahara wa vijana hawa huwa ina range namna ipi?
Mawazo yako yatafungua wengine wakuu karibuni.
Bic sales unit was established in August 2013, as the first locally incorporated Insurance sales unit in Jubilee Company based in Tanzania . Jubilee Insurance has spread its sphere of influence throughout the region to become the largest Composite insurer in East Africa, handling Life...
Takribani siku chache tangu nitambulishwe ukweni kama kijana mtarajiwa mambo nilioweza kuyaona.
1.Nilikaribishwa salama salmini kwa vifijo na vigelele msosi ulipikwa tukala na kusaza.
2.Baada ya hapo talisman mazungumzo tukiwa watu watatu mimi, baba mkwe na mama mkwe ila yote tisa kumi ni pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.