kampuni ya lbl

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Benki Kuu (BoT): Hatujatoa leseni wala kuruhusu shughuli za LBL

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inapenda kuutaarifu Umma kuwa haijafanya mazungumzo wala kutoa maelekezo yoyote ya kupewa leseni au kuruhusiwa kwa kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL), tofauti na taarifa mbalimbali zinazozambaa mitandaoni. Soma Pia: Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa...
  2. T

    Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa saba wa LBL kwa tuhuma za biashara haramu ya fedha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuendesha biashara haramu ya fedha mtandaoni bila kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Soma pia: Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL Watuhumiwa hao ni wawakilishi wa kampuni...
  3. Ditex

    Kampuni ya Mtandaoni ya LBL inayojihusisha na matangazo ya biashara siyo Utapeli?

    Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada. Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu Leo burnett London (LBL) wanakupa task mbalimbali ikiwemo hii ambayo unatakiwa kutazama movie na...
  4. JOSEPHAT_07

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
Back
Top Bottom