Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani.
Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku...
Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji.
Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha za umma inayoweza kukabiliana na changamoto zinazojitokeza duniani ikiwa ni pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi, mabadiliko ya kiteknolojia na...
Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir.
Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
Nguvu ya Watu
Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa ina mataifa 7 na idadi ya watu zaidi ya milioni 312, ikiwa ni zaidi ya 20% ya watu wa Afrika. Umoja huu ni chachu ya maendeleo yetu.
#EACat25, #EACBorderless #OnePeopleOneDestiny #SamiaSuluhuHassan
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA SABA WA (7) WA JUMUIYA YA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA USAFIRI MAJINI AFRIKA
Dodoma.
Wizara ya Uchukuzi inautaarifu umma na wadau wa sekta ya usafiri majini kuwa Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa...
Naomba kusainiwa ndugu zangu hivi hizi jumuiya na seli za wakristo lengo lake hasa ni nini? Mbona sioni cha ziada, zaidi ya michango na kufokewa?
Hizi jumuiya na seli zimekuwa kama vile mtego kwa wakristo wote, ooh haionekani seli/jumuiya anyimwe huduma. Yeyote mwenye kujua dhima na faida za...
Huu utaratibu wa waumini wa kanisa katoliki kukutana kila Jumamosi kwa ajili ya taratibu zao za Jumuiya nadhani linapaswa kuigwa na liwe jambo la kila Mtanzania.Jumuiya hizi hujengwa na familia kadhaa zisizopungua tano hadi kumi na tano zilizo jirani.Familia hizi hushirikiana katika mambo yote...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
28 September 2024
https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s
Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota.
Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa...
Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele.
Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini.
Akizungumza Septemba 24, 2024 ikiwa kuelekea mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 - 29...
Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo extensions za ukaazi wao wa kikimbizi huko ughaibuni, pia ikiwepo kutafuta huruma ili wamiminiwe fedha kwa...
Na Peres Parpaih (pia anajulikana kama Yehudah Amir Kahalani, jina lake la Yemeni), Moreh (mwalimu) wa Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania
Israeli iko karibu na Afrika Mashariki na ulimwengu wa Kiarabu kuliko nchi nyingine yoyote. Kwa sababu ya uhusiano huu wa kijiografia, Wayahudi katika...
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
Imeundwa August 25/ 2024 na kufanyiwa maboresho August 26-27/2024
LOGO Imeundwa na Kamati yetu ya Ubunifu kwa kushirikiana na kampuni ya Strain Org inayomilikiwa na MwanaKigoma.
Imeundwa Kwa Gharama ya Tsh 110'000 + 30'000 za usajili. Nembo imeshakabishiwa BRELA kwa ajili ya usajili.
NEMBO...
YAH: TAARIFA KWA UMMA.
Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo.
Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.