Mr. Job Yustino Ndugai (born 21 January 1960) is a Tanzanian politician who has been Speaker of the National Assembly of Tanzania since November 2015. Previously he was Deputy Speaker from 2010 to 2015.
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Spika Ndugai ajibu hivi...
Kesi iliyofunguliwa na shirika la Civic and Legal Aid Organization (CILAO) kuomba tafsiri ya Mahakama Kuu kufuatia kitendo cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumrejesha Bungeni Ndg. Cecil Mwambe itatajwa kesho tarehe 03 Juni 2020 sa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Maige, Jaji...
Mtu kati.
Ni moja ya wiki stressful sana kwa Job Ndugai.
Wakati huko jimboni kwake Kongwa wapiga kura wake wakimkana mbele ya mwenyekiti wa chama chake Magufuli, huku kuna wananchi wengine wanamburuza kortini.
Kesi hii inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 3 June 2020 katika Mahakama Kuu kwa...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amebadilisha msimamo wake kuhusu ujenzi wa mradi mkubwa wa ukanda maalumu wa kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) mkoani Pwani akisema awali yeye na wabunge wenzake hawakuyajua masharti ya mradi huo bali waliangalia tu faida zake.
Kauli ya Ndugai imekuja ikiwa ni siku...
Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amepinga mpango wa Serikali wa kuwapangia vituo vya kazi moja kwa moja walimu wanaoajiriwa, akihoji ni kwanini inapoka madaraka ya Halmashauri.
Ndugai ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 23, 2017 ikiwa ni siku moja baada Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.