itikadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

    Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!! Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left. It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram. People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's...
  2. Roving Journalist

    Kuelekea 2025 LGE2024 RC Kihongosi; CHADEMA fanyeni Siasa za kistaarabu, tusibaguane kwa itikadi za vyama vyetu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Simiyu kuepuka kugawanywa kwa itikadi za vyama na badala yake kudumisha Amani na mashikamano baina ya Watanzania. Kihongosi ametoa rai hiyo alipozungumza na viongozi wa Chama hicho...
  3. Sitaki kuamini

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli. Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la...
  4. Mndeme jeremia

    Chadema itikadi yenu ni nini??

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Serekali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 27 Novemba Mwaka huu. Baada ya tafakuri ya kina, Kuna swali moja kubwa nimejiuliza kuhusu CHADEMA(Chama cha Demokrasia na Maendeleo). 1. JE NINYI NI WAUMINI WA ITIKADI GANI? Pamoja na mafanikio makubwa kisiasa katikA...
  5. Eli Cohen

    Kuna watu kiu yao ya vurugu inayotokana na msukumo wa itikadi zao au hamasa binafsi inafanya nikumbuke quote hii katika movie ya The Dark Knight

    Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki. Ndio hapo, yule mzee ambaye ndio Guardian wa Batman tangu utoto akamwambia Batman maneno haya: "Because...
  6. Eli Cohen

    Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  7. B

    Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  8. Eli Cohen

    Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  9. Eli Cohen

    Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  10. Eli Cohen

    Nina uhakika kila mmoja wetu hapa akiihoji na kuichunguza dini yake kwa kutumia akili yake binafsi mtambuka hakuna ataebaki kuwa mhanga wa doctrines

    Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao. Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial? Unaweza kuta kweli njia...
  11. Eli Cohen

    Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

    Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21. Mfia dini au mfia duni.
  12. Vichekesho

    Kuelekea 2025 Morogoro: Baadhi ya watu wanaojitambulisha kuwa ni viongozi wa CCM wanapita kaya kwa kaya kuuliza itikadi za watu

    Wakifika kwako wanataka kujua idadi ya watu wenye miaka 18+ na wanataka uwaite mmoja baada ya mwingine kila mmoja ajitambulishe na aseme yeye yuko chama gani. Wanakuwa na daftari wanaandika, sasa kama mimi niko CHAUMA wewe kiongozi wa CCM inakuhusu nini? Je hakuna utaratibu wa kufahamiana...
  13. Y

    SoC04 Tuachane na itikadi ya uchumi wa amri au "command economy" ili tuelekee uchumi wa masoko huru au "free market economy"

    Habari Wanajukwaa wote! Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa. Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
  14. J

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  15. S

    Namuona Amos Makalla akichua mikoba ya Makonda na John Mongela akichukua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Anamringi Macha!

    Baada ya mabadiliko ya Mwenezi ndani ya chama cha Mapinduzi kuna kila dalili ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kurithi mikoba ya Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha! Pia aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela kuna kila dalili ya kujaza nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa...
  16. Zanzibar-ASP

    Nafasi ya Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM taifa ni bora ikafutwa tu, haina faida kwa sasa

    Utakubaliana na mimi kuwa CCM inayumba sana kwa sasa kutokana na nafasi ya katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo taifa. Kila aliyeshika hiyo nafasi, kama hakupwaya basi aliishia kuwagawa wanaCCM katika makundi ya kuwania urais ama kutengeneza chuki dhidi ya wananchi. Tatizo lilianza kuonekana...
  17. Mtemi mpambalioto

    Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  18. R

    Kuelekea 2025 CHADEMA wadai hawatajibizana kwa namna yoyote ile na Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM

    Leo Makonda ameita vyombo vya habari, ameeleza mengi kuhusu kauli ya Mbogwe kuhusu kujiondoa kwenye maridhiano. Amedai Mbowe ni mnufaika wa maridhiano na kwamba kama siyo maridhiano angekuwa yupo gerezani . Kwa upande wake chadema imeeleza kutojibizana na kauli yoyote ya Makonda kwani kufanya...
  19. sky soldier

    DOKEZO  Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua

    Ni hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo. Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono...
  20. GENTAMYCINE

    Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

    1. Dharau 2. Uonevu 3. Ubabe 4. Uwizi/ Ufisadi 5. Dhuluma 6. Rushwa 7. Uwongo/ Kudanganya Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
Back
Top Bottom