hupati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mshamba_hachekwi

    Kitu gani umejiuliza sana lakini hupati majibu?

    Naamini kuna vitu vidogo vidogo tunagundua kwenye maisha ambavyo vinatushangaza lakini inakuwa ngumu kupata majibu ya jinsi vilivyo.... Nimefungua hii thread kama njia ya kupata majibu. Naona kama haitofaa kufungua uzi kwa kila swali kwasababu ni mawazo ya haraka haraka tu, sidhani kama yana...
  2. Vien

    Kwa aina hii ya matangazo usishangae kuona hupati wateja

    Hilo hapo chini ni tangazo katika moja ya migahawa hapa mjini DSM, Ameanza kwa mtiririko huu ∙ Supu ya Samaki ∙Choo cha kulipia ∙Chapati ∙maandazi ∙Wali + Pilau ∙Chips Karibuni sana, Katika hili tangazo lake kosa kubwa alilolifanya ni kuandika Choo cha kulipia katikati ya tangazo la chakula...
  3. Chachu Ombara

    Mzee Cheyo: Uchaguzi wa sasa ni mnada, kama huna pesa hupati

    Katika mjadala rika uliokutanisha wadau mbalimbali wa siasa, Mzee Cheyo akichangia amewaasa vijana kuhakikisha wanapigania sheria nzuri za uchaguzi kwani sasa tumepewa tafsiri mbovu ya uongozi kuwa ni pesa. Amesema kama sasa hivi vijana wanataka kufirisika katika maisha yao basi waende kwenye...
  4. mkarimani feki

    Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara. Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali. Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini 1. TRA 2. BOT 3. DCEA 4. TISS 5. IMMIGRATION 6...
  5. A

    Je, Mtu mwenye Kansa, anaweza akapewa Bima Binafsi?

    Ubaguzi mwengine wizara ya Afya. Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash. Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake...
  6. BARD AI

    Ukikosa Bima ya Afya hupati Leseni ya Udereva kuanzia mwaka 2026

    Serikali imesema muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ukipitishwa na kuwa sheria na kuanza kutumika mwaka huu, mwananchi yoyote ambaye hatakuwa na bima hiyo kuanzia mwaka 2026, hataweza kupata huduma zingine ikiwamo leseni ya udereva. Kauli hiyo imetolewa leo na mjumbe wa sekretatieti ya...
  7. aise

    Hivi ni kweli kuna wanyama ukiwagonga hupati kesi?

    Habari wakuu, kuna jambo nimelisikia mara kadhaa watu wakisema, kuwa kuna baadhi ya wanyama au ndege ukiwagonga wapo ambao unashitakiwa na wapo ambao hakuna kesi ila kibinadamu unamalizana tu na mmiliki. Kwa mfano ukigonga bata au kondoo, hapo kesi ipo na itafika mbali. Ila kama utamgonga...
  8. Mpinzire

    Tigo Tanzania, Tsh 2000 hupati hata GB 1

    Nilikuwa nimeweka vocha yangu ya buku 2 ninunue GB 1! Kuingia kwenye Menu ya Tigo tayari mambo yamegeuka, kwasasa kumbe hiyo GB 2000 hupati hata GB 1 yani! Kweli mpaka kufikia 2025 tutanunua GB 1 ELFU 5.
  9. M

    Bila connection hupati kazi

    Wanajamvi nawasalim, Katika vitu nimejifunza tujitahidi sana kama vijana kufanya kazi kwa bidii huku tukiwaandalia watoto wetu mazingira mazuri ya biashara, kama umemsomesha aje kuajiriwa basi fanya juu chini tengenza connection. Vijana wengi baada ya kumaliza vyuo na kutofanikiwa kupata ajira...
Back
Top Bottom