PC yangu imeharibika housing. Nikiifunga na kufungua ndio inazidi kuvunjika.
Je, ni wapi naweza kupata housing mpya au used? (Ni housing ya plastic)
Makadirio ya bei ni kiasi Gani?
Na gharama za ufundi ni kiasi Gani?
Nb: Hizi picha nimedownload online. Ila PC iliyoharibika Iko exactly the same...