Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori.
Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
KITANDA CHA SEMADARI
Picha hiyo hapo chini ni picha ya kitanda ambacho nimeamka leo asubuhi.
Jana usiku nilipopanda kulala sikukiangalia vizuri kwa mchoko wa safari.
Kitanda cha semadari nimekilalia miaka 70 iliyopita Mtaa wa Kipata katika nyumba ya makuti juu na chini hakuna sakafu ila ni...
Isaac Maliyamungu (The Killing Machine) alikuwa askari mtiifu wa Rais wa Uganda Idi Amin Dada, alipewa mamlaka ya kuua,kuteka,kutesa na kupoteza yeyote isipokuwa Amin na familia yake na alifanya hivo. Uzuri ni kwamba aliemlinda na yeye walikufa wote wakaiacha Uganda.
Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana.
Hivyo basi watoto wakizaliwa walilazimika kifungwa nganganga na kitambaa kichwani (LIMPOPO) ili kutengeneza...
KWANINI MJI ULE ULIITWA ROMA?
Roma ni mji mkuu wa nchi ya Italy, ni mji wenye historia ndefu duniani... Kwa maana historia yoyote ya dunia haitokamilika kama hujaizungumzia au kutaja Neno Roma.
Roma imeanza kukaliwa na watu kwa zaidi ya miaka elfu 2 iliyopita. Ni mji wa 3 kwa umaarufu katika...
Mfahamu Sokoine Moringe
Edward Sokoine Moringe (Agosti 1, 1938 - Aprili 12, 1984).
Alikuwa mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili kutoka Monduli, Tanzania.
Alijiunga na Chama cha Tanganyika African National Union (TANU) mwaka 1961...
Hii ni siku inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 14. Imetokana na Mtakatifu, Askofu wa Kanisa Katoliki wa miaka ya 496 baada ya Kristo aliyeitwa Valentino.
Siku hii watu wengi huiadhimisha kwa kupeana zawadi mbalimbali kama kadi, maua na nyingine nyingi zenye ishara ya upendo.
Fahamu...
Ndugu wana JF,
Kwa kipindi hiki nimeona nivyema tukajikumbusha historia ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, akifanya mahojiano na mwadhishi wa habari Godfrey Dilunga mwaka 2011. Mtakumbuka kuwa Tundu Lissu anaendelea kujizolea umaarufu kutokana na umahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.