english

  1. Wanaojua Kiingereza tu: Karibuni tuchati kwa Kiingereza

    Write something in English and let chat in English. Please like this thread as agreement with my hoja.
  2. S

    unaweza kuishi hapa

    hii itakua mwanza rock city maisha yanataka utake risk lakini kuishi hapa ni zaid ya risk yenyewe
  3. In English we say

    "In English, we say: “I miss you.” But in poetry, we say: “I trace the shape of your absence in the spaces where your laughter used to linger, and let the echoes of you fill the hollow hours.” In English, we say: “I don’t know how to let go.” But in poetry, we say: “I carry you in my chest like...
  4. Ras Simba English Course

    Eti wakuu... Huyu Ras Simba Mwamba wa kufundisha English language (ung'eng'e) ana vituo DSM pekee Huku mikoani hamna..? Mimi Niko mikoani nataka nijipige msasa kidogo wakuu. Huu mtaa ninaoishi wazungu ni wengi mno. Nataka nipige nao story mwazo mwisho bila kukwamakwama
  5. Mwandishi wa habari mwenye lafudhi ya Kihindi na broken English aumbuliwa na Trump!

    Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka akaachana naye akaenda kwa mwandishi mwingine.
  6. F

    Natafuta shule za English medium za bei nafuu

    Habari Natafuta english medium primary school kwa Dar es salaam zenye school fees below 1 million . Kuna research nahitaji kufanya nao niwasiliane nao. Ntapendelea kwa Dar eneo lolote. Asante
  7. M

    Elon Musk alisema kwamba Donald Trump alikubali kuwa USAID inapaswa kufungwa

    Hili limeniumiza sana Elon Musk amesema kwamba Rais Donald Trump alikubali kuwa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufungwa, kufuatia siku kadhaa za uvumi kuhusu mustakabali wa shirika hilo baada ya ufadhili wake kusitishwa na wafanyakazi wake kadhaa kuwekwa...
  8. My Brutally Honest Advice to Non-Native English Copywriters...⁣

    My Brutally Honest Advice to Non-Native English Copywriters...⁣ ⁣ No one else in the industry will ever tell you this.⁣ ⁣ They'll either dance around the subject like an ostrich with their head in the sand...⁣ ⁣ Or lie to your face for fear of being 'cancelled'.⁣ ⁣ But because I:⁣ ⁣ 1) Always...
  9. Anayewahamasisha mtoe watoto English Elementary ndio huyo ana support bunge la Iraq kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa

    Mhamasishaji wenu: https://www.jamiiforums.com/threads/nasimama-na-bunge-la-iraqwi.2301833/ Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima. Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio...
  10. What is so special kuhusu kurudisha watoto kayumba hadi mje kudiss shule za English Elementary humu? Mtutajie basi na matumizi mengine mnayobana

    Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kwenda bar kwa maana chupa 2 mbili tu kwa kila siku 364 za mwaka mzima sio chini ya 500,000 kwa mwaka. Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kuchukua wale mademu wa Telegram kwa maana demu mmoja tuseme 30,000 mara tatu kwa mwezi ni sawa na 90,000 kwa...
  11. Bubur Ayam inaweza kuwa kifungua kinywa bora zaidi baada ya English breakfast.

    Hii breakfast ya Indonesia( wenyewe wanaiita Bubur Ayam) inaonekana ni bora sana. Wapi Dar es Salaam kuna mgahawa wa Ki-Indonesia nikaijaribu?
  12. Sijawahi ona mtu ameandika JF kujisiifia amepeleka mtoto English Elementary ila Wazee wa Kayumba ni taarab kila kona ili wapate faraja ya uamuzi mgumu

    Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia. mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika kuwa unapoteza pesa hapo 🤣🤣
  13. Aina ya mwanamke anayekuwa entertained siku hizi ndio kirusi cha kumharibu huyo binti yako mdogo

    Siku hizi hakuna cha inspiration za bibi titi mohamed. Siku hizi unakutana na mwanamke mwenye mafanikio na alama katika taifa lakini njia ya kufika kwake ilikuwa kujipost uchi uchi mtandanoi, kuishi kwa scandal, kulamba pipi kijiti za wakubwa, kuhongwa na wanaume za watu then kupata connection...
  14. B

    Kuna shule za English medium za serikali

    Habari zenu ndugu zangu naomba kuuliza hivi Kuna shule za English medium za serikali? Hapa Tanzania kama zipo mnaweza kuzitaja jina na mikoa zilipo
  15. Hizi ajira hazifai kugombewa na watoto waliosoma English Medium Schools[ EMS]

    Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja. Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara...
  16. Funzo kwa Wazazi: Kumlipia Mwanao Ada English Medium bila juhudi zako binafsi kumchochea kujifunza nyumbani ni kazi bure kwa asilimia kubwa

    Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto? Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
  17. Huduma ya utafsiri kutoka Kiswahili kwenda Kingereza/ Kingereza kwenda Kiswahili/ Top-Quality English to Swahili/ Swahili to English translation.

    Habari, Tunatoa huduma bora na za kitaalamu za kutafsiri maandishi kutoka Kingereza kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kingereza kwa usahihi na umakini wa hali ya juu. Huduma zetu huhusisha sifa zifuatazo: ✅ Tafsiri inayobeba maana halisi bila kupotosha. ✅ Matumizi ya Kingereza/Kiswahili...
  18. T

    I'm Looking for someone in dar es salama who is a Native English Speaker

    Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker, The purpose of looking for that person is learning Anyone interested please check me
  19. MASWALI YA KUJIPIMA NA USAILI ENGLISH TEACHERS TANZANIA

    ENGLISH TEACHERS TANZANIA As a teacher preparing for a written aptude test in English or Written Test , it’s important to start with a clear understanding of the key areas that will be or are preferably to be assessed. As an English teacher, you need to be familiar with a wide range of...
  20. P

    Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…