Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji, Wakili Haji Nanduli ameeleza kuwa kwenye kila lita moja ya mafuta ya Petrol na Dizel ukatwa Tsh. 50 kama tozo kwa ajili kupelekwa kwenye Mfuko wa Taifa wa Maji ili kuwezesha utekelezaji wa mradi ya maji nchini.
Ameongeza kuwa ili kuwezesha upatikanaji wa...
Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni.
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
Sekta ya nishati na madini ni moja kati ya sekta muhimu na inayogusa maisha ya mwananchi mmoja mmoja hata mwananchi wa kipato cha chini.
Moja ya bidhaa za sekta hii ni mafuta ya petrol na dizel ambayo huagizwa kutoka nje ya nchi na kupelekea nchi kutumia fedha nyingi za kigeni katika uagizaji...
Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi huoni kabisa gari pamoja na pampu nyingi walizizonazo, pia kituo kina karakana ya kuweka mfumo wa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za Mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia Desemba 6, 2023 ambapo Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,158, Tanga Tsh. 3,204 na Mtwara Tsh. 3,231 kwa Lita moja ya Mafuta.
Dizeli Dar es Salaam itauzwa kwa Tsh. 3,226...
Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi.
Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi...
Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta (supplier). Katika bei za Mei 2022 gharama hizi zilikuwa ni kama ifuatavyo:
(i) Petroli – bei ya soko la...
Nilikuwa nafuatilia kwa karibu bei za mafuta ya petroli, dizeli, na mafuta ya taa zilizotangazwa na EWURA mwezi huu.
Baada ya kuchunguza kwa kina, nimegundua bei ya mafuta ya taa imekuwa chini sana ikilinganishwa na ile ya mafuta ya petroli na dizeli.
Hali hii inanitia wasiwasi sana, kwani...
Kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta (Gas-to-Liquid - GTL) ni njia nzuri ya kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini Tanzania.
Gesi asilia inaendelea kuwa rasilimali muhimu na yenye thamani kubwa katika soko la nishati duniani. Kuzalisha mafuta kutoka gesi asilia itakuwa na...
Bei za Toyota LandCruisers zenye uwezo wa 1VD zimepanda hivi karibuni wakati Toyota ilipotangaza aina ya 2024 LandCruiser 70 Series itakayoendeshwa na injini ya dizeli ya 1GD 2.8-lita yenye cylinder nne inayoungwa automatic gear box, lakini habari njema ni kwamba V8 inabaki kwa ajili ya wakati.
Shughuli za usafirishaji wa abiria kupitia usafiri wa pikipiki na bajaji mkoani Katavi zimesimama kutokana na ukosefu wa mafuta ya petrol na dizeli kwenye vituo vya kuuzia mafuta, hali iliyowaathiri madereva wa vyombo hivyo kukosa mahitaji ya familia zao.
Wakizungumza na mwananchi leo...
Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa 6:01 usiku. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:
(a) Bei za rejareja za mafuta...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Mei 3, 2023 huku bei ya mafuta ya petrol na dizeli zikipaa kwa yale yanayoingia kupitia bandari ya Dar es Salaam ikilinganishwa na Aprili.
Katika taarifa hiyo iliyotolewa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Januari 4, 2023 huku bei ya dizeli ikiendelea kupaa.
Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato imeonyesha kuwa katika jiji la Dar es...
Mawaziri wa nishati wa Tanzania na Zambia, wamekubaliana taratibu za namna ya kuimarisha ulinzi katika bomba la TAZAMA litakalosafirisha mafuta ya dizeli kutoka nchini kwenda katika Taifa hilo jirani.
Miongoni mwa masuala hayo ni kuongeza askari katika njia ambazo bomba hilo linapita...
Zuio hilo limeendana na hamasa kwa viwanda vya ndani kutakiwa kuelekeza nguvu zao kutengeneza magari ya umeme, chanzo ikiwa ni kulinda mazingira.
Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya leseni za magari Milioni 6.5 yaliyosajiliwa nchini humo.
Mwaka 2019 za Benki ya Dunia ilitoa takwimu zilizoonesha...
Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.