digital rights 2023

Digital rights are those human rights and legal rights that allow individuals to access, use, create, and publish digital media or to access and use computers, other electronic devices, and telecommunications networks. The concept is particularly related to the protection and realization of existing rights, such as the right to privacy and freedom of expression, in the context of digital technologies, especially the Internet. The laws of several countries recognize a right to Internet access.

View More On Wikipedia.org
  1. Unachukua tahadhari gani za kiusalama unapotumia Taksi Mtandao (Uber, Bolt n.k)?

    Tukio la kusikitisha la kifo cha Catherine Serou, mwanamke Mamrekani, linatufundisha umuhimu wa kuchukua tahadhari zinapohusiana na usalama wako unapotumia huduma hizi. Kifo cha Catherine Serou kilitokea baada ya kupanda gari la mtu asiyejulikana, akiwa na imani kuwa ni dereva wa Uber. Usalama...
  2. Tanzania Digital Rights Coalition: Official Statement Against Restriction of VPN Use In Tanzania

    The Tanzania Digital Rights Coalition, a united front of organizations committed to upholding and promoting digital rights, unequivocally condemns the recent statement issued on Friday, 13 October 2023 by the Tanzanian Communication Regulatory Authority (TCRA) restricting the use of Virtual...
  3. Umoja wa Mataifa: Wanawake wameachwa nyuma kwenye nafasi za kazi za Sayansi, Uhandisi na TEHAMA

    Mwaka 2022, watu bilioni 2.7 bado hawakuwa na upatikanaji wa intaneti. Tofauti hii inatishia kuongeza kutokuwiana baina na ndani ya nchi. Kutofikia teknolojia na taarifa kunakoendelea kutaendelea kuyatenga makundi ambayo tayari yako nyuma, ikiwa ni pamoja na wanawake na wasichana wa vijijini na...
  4. Yaliyojiri kwenye miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika, Septemba 28, 2023

    https://www.youtube.com/watch?v=4V82RGuXtGk Tanzania ni Mwenyeji wa Miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika (Forum for Internet Freedom in Africa 2023) ulioandaliwa na taasisi ya CIPESA kutoka Uganda katika Hoteli ya Hyatt Regency, The Kilimanjaro, Jijini Dar es Salaam kuanzia...
  5. Teknolojia inaleta fursa muhimu katika Elimu. Ni muhimu kuondoa vikwazo vinavyozuia wengine kuifurahia

    Elimu ni msingi wa maendeleo na fursa binafsi. Hata hivyo, kupata elimu bora kunaweza kuwa changamoto kubwa kwa makundi mbalimbali katika jamii. Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, teknolojia imeleta mapinduzi katika uwanja wa elimu na kuwapa wengi fursa mpya. Kuthibitisha hili, Ripoti ya...
  6. Somalia yaifungia Mitandao ya Tiktok, Telegram na 1XBet

    Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
  7. R

    Utungaji wa Sheria nchini uzingatie Mtiririko Mzuri na Matumizi ya Lugha Rahisi

    Ili wananchi waweze kuelewa vizuri Sheria mbalimbali nchini pamoja na vifungu vyake, kunatakiwa kuwe na mtiririko mzuri katika uandishi wake pamoja na matumizi ya lugha rahisi. Wananchi wanapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa sheria bila kuhitaji msaada wa kisheria au ufafanuzi wa ziada. Hii...
  8. R

    Maneno 'Usalama wa Taifa' kutumiwa kwenye Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi bila kupewa tafsiri yanaweza kutumiwa vibaya kwa uonevu

    Kwa mujibu wa Kanuni za Usalama wa Taifa, Uhuru wa Kujieleza na Upatikanaji wa taarifa za Johannesburg 1996; zuio kwa misingi ya 'Usalama wa Taifa' haliwezi kukubalika endapo lengo halisi ni kulinda maslahi yasiyohusiana na Usalama wa taarifa. Zuio kwa misingi ya kulinda Usalama wa Taifa...
  9. R

    Unajua unaweza kuwa chanzo cha kuharibu maisha ya baadaye ya mtoto wako kwa kuweka picha/video zake mtandoni?

    Wakuu, Imekuwa ni kawaida au tuseme fashion kwa wazazi/walezi kupost picha au video za watoto mtandani. Picha au video hizo zinaweza kuwa za vichekesho, matukio mbalimbali ya maisha au mtoto anaambiwa afanye tukio fulani huku akirekodiwa na kisha kupostiwa mtandaoni au hata vitendo vya aibu...
  10. J

    Nini kifanyike kuwalinda Watoto wenye ulemavu katika dunia ya kidigitali?

    Dunia kwa sasa inapitia mapindizu makubwa ya kidijitali, watoto limekuwa miongoni mwa kundi muhimu ambalo linastahili kulindwa na kuongozwa katika suala zima la matumizi ya kidijitali. Zaidi ya wadau mbalimbali kusisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto katika wakati huu wa mapinduzi ya kidijitali...
  11. Ni muhimu kwa kila Mtanzania kuchukua jukumu la kujilinda dhidi ya Mashambulizi ya Kimtandao

    Mashambulizi ya kimtandao ni jambo la kawaida katika enzi hizi ambapo teknolojia ya habari na mawasiliano inakua kwa kasi. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta faida kubwa katika maisha yetu, lakini pia yameleta changamoto na tishio la usalama wa kimtandao. Teknolojia inaendelea kuwa sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…