Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe (uchawa), influencer 😃, nk
Upande wa faida:
Kuna yule binti alikuwa anajipa vibe kwenye biashara yake...
Habari naitwa Rashid
kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi.
Namba za Simu 0627225627/ 0745747368
Email...
Habari naitwa Rashid
kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta,
Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi.
Namba za Simu
0627225627/ 0745747368
Email...
Nauliza tu hivi umeshawahi kulala kisha ukaanza kuota kwenye ndoto ukiwa unaona mazingira ni halisi kabisa bila kujua kwamba upo ndotoni ghafla bin vuu ndoto inaanza kuchangamka unajikuta aidha kwa kukasirishwa au kufurahishwa aidha unaanza kuongea katika hali kujitetea au unaanza kucheka bila...
You know when conducting research and you reach the stage of data collection, as a researcher, unakuwa na uwanja mpana wa kuamua njia ipi utumie. Should you go for primary data, secondary data, or both?
Okay may be let me break them down ili tuelewane kidogo, the moment I say primary data hapa...
JuZ kat sikuwa na habar kama hizi simu za iphone matoleo ya nyuma wanazizima zisifanye kaz tena.nikiwa sina hili wala lile ghafla simu nikaona haifanyi kaz imejizima...nikajaribu kuiwasha ikashindikana na sikuiangusha wala kuiharibu kokote..kwenda kwa fundi anasema iphone wameamua kuzima hizi...
Kuna wakati najiuliza maswali mengi nakosa majibu! Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo na kila mtu anafahamu hilo, ila tunaamua kuchagua tu kuziba masikio na kusema kuwa tupo sawa.
Hii picha imenifanya nifikirie mbali sana, sikatai kuwa kuna maaskari game wanawake ila sio kila eneo la game...
Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
Hii ni nchi ya ajabu sana. Unamaliza mpaka chuo kikuu lakini siku ya interview wanakwambia hawakujui eti kisa ulipoteza vyeti tu hata kama viliungua moto ndani.
Nchi ya maajabu sana. Hata IT Tanzania haifanyi kazi kabisa.
Hii niyo nchi ya vi wonder kama alivyosema JPM
Binafsi naona tunaishi kwenye Nchi ambacho hata ukiulizwa utaje shule zilizoko wilaya uliyotoka huwezi kuzijua;
Nashauri; Kuwe na ukurasa (Data base) ukiingia unapata Shule zote kwa kila mkoa na kwa kila Wilaya
1. Mfano: Kuwepo na shule za A-level (mnaweza kwenda mbali na kuweka combination)
2...
Habari zenu wakuu…
Naomba Leo tuongee kuhusu mambo haya ya programming, kwa maana watu wengi huwa wanahisi programming ni ngumu na hii yote ni kutokana na kutokujua msingi na dhima ya programming ni ipi.
Na ndio maana nimeandika hili bandiko ili kutoa degree ya kompyuta sayansi ya miaka mitatu...
Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara.
Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?
Nina Ordinary Diploma ya Information Technology nina Ujuzi sehem zifuatazo :-
1. Graphics Designing and Printing
2. Data Entry
3. Class D license ya Magari (Manual na Automatic transmission)
4. Sales and Marketing, kuongoza Team ya Marketing
NB: Ninafundishika Kama ni kazi mpya na mifumo mipya...
Utangulizi: Katikati ya kiini cha dunia kuna joto kali sana, na halijoto ni kuanzia 7200–9000℉ (4000–5000℃) linasababisha kuungua na kufanya uji wa mawe, miamba na madini magumu kama nickel. Hapa kwenye kiini (core/mantle) kuna joto lenye shinikizo (pressure) kubwa kiasi cha kuweza kutoka nje ya...
Let's say hii meli ndio imekuja bongo na mzigo wote inabidi ushuke Bandari ya Dar es salaam yaani TPA na mdau wake DP world watabaki Wanaumiza vichwa eneo la kupaki magari yote 9100 katika good condition na kuhakikisha hawachanganyi chochote kwa maana ya rekodi za vitabu na mzigo physically.
Good Afternoon Everyone.
Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router??
Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia smartphones zetu hizi hizi pamoja na simcards za Vodacom, Tigo Yas, Airtel pamoja na Halotel hatuwezi kuwa na...
Habari wakuu naombeni mimi ni CO muajiriwa serikalin kutokana na kuwa na muda mwingi kazin kwangu nimewaza kusoma kozi ya data management pale open university bika kuomba ruhusa kazin,vipi kuhusu upatikanaji wa ajira au recategorization nitakapomaliza degree yangu?
Naombeni msaada mfano wa maswali kwenye written interview kwa waliowahi kufanya interview kama data analyst, pia system developer angalau tupate pa kuanzia
Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.