A CPA (Cooperativa de Producción Agropecuaria), or Agricultural Production Cooperative, is a type of agricultural cooperative that exists in Cuba today.
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.
Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa...
Ukishaingia kwenye situation kama hii Porini Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukutoa hapa.
Inabidi uweke vyeti pembeni kwanza.
Ili uweze kutoka hapa utahitaji elimu ndogo sana, zaidi utahitaji skills flani za VETA na Uzoefu wa kuingia uvunguni kufunga mnyororo bila kujali kuchafuka...
Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
Naona anayesaini taarifa zote za Kamati za Kamati kuu na Halmashauri Kuu ni Issa Haji Ussi (GAVU)
Je, Yuko Wapi Amos Makalla Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa?
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Akizungumza siku ya...
Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa kuwapotezea muda.
Mfano unapo angalia salio, asilimia kubwa hii mitandao imekuwa ikitulazimisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29.
Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili kuchaguliwa.
Makala amesema hayo wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni za...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa CCM-NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA makalla amesema uimara wa chama cha Siasa ni nguzo imara kwa wananchi kwani umoja unajenga imani kubwa kwao katika kuleta maendeleo.
Makalla ameeleza hayo leo Novemba 21, 2024 akizungumza katika...
📍 Kigamboni
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na...
Kwa mtu ambaye tayari ni muajiriwa, na anataka kusoma degree nyingine, je aanze na uhasibu then CPA ndio afanyiwe recategorization, au haiwezekani kusoma CPA bila kua na degree ya uhasibu? Kama ilivyo school of law? Maana school of law ni lazima mtu amalize bachelor ya LLB?.
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu.
Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea...
Yaweza kuwa ni maandalizi makubwa, mikakati au ushawishi alionao Bony Yai ila ukweli ni kwamba amewashtua sana wabunge wa Kanda ya Pwani waliopo Bungeni.
Idadi ya watu alioandamana nao haikutegemewa hasa ikizingatiwa alidrop kwa muda kwenye siasa za harakati akaanza kufuga kuku.
Maandamano...
Wakuu habari za leo!
Natumai mu wazima wa afya.
Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua nikipitia changamoto sana katika kazi yangu ya IT yaani natumia nguvu kubwa sana kufanikisha majukumu...
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mh. Rais Samia kwa kuwajali kwa dhati ya moyo watumishi wote wa umma.
Sio siri kwa sasa watumishi wamekuwa wakitimiziwa haki zao za msingi kwa wakati kabisa bila kigugumizi.
Tumeshuhudia mara tu alipoingia madarakani aliwapandisha madaraja watumishi waliokuwa...
CPA Amos GABRIEL makalla amsikilize sahivi yupo Dar Es Salaam anamwaga mavitu. Namfahamu Makalla ni mwanasiasa hodari aliyekulia na kulelewa kisiasa. Hana mambo ya siasa za kishamba, amezaliwa mjini Dsm siyo nyie kina Masanja mmeingia jana. Anajua mipaka ya majukumu yake, siyo kupotosha wananchi...
Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa Masoud Simba.
Ndugu zangu, taaluma ya CPA inayotolewa na NBAAA sio mchezo, hii ni body ya wakaguzi...
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko.
Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini.
Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini.
1. CPA. William E. Mtinya
Director, Corporate Services Department.
2. CPA. Elikana P. Buremo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.