bundle

In mathematics, a vector bundle is a topological construction that makes precise the idea of a family of vector spaces parameterized by another space X (for example X could be a topological space, a manifold, or an algebraic variety): to every point x of the space X we associate (or "attach") a vector space V(x) in such a way that these vector spaces fit together to form another space of the same kind as X (e.g. a topological space, manifold, or algebraic variety), which is then called a vector bundle over X.
The simplest example is the case that the family of vector spaces is constant, i.e., there is a fixed vector space V such that V(x) = V for all x in X: in this case there is a copy of V for each x in X and these copies fit together to form the vector bundle X × V over X. Such vector bundles are said to be trivial. A more complicated (and prototypical) class of examples are the tangent bundles of smooth (or differentiable) manifolds: to every point of such a manifold we attach the tangent space to the manifold at that point. Tangent bundles are not, in general, trivial bundles. For example, the tangent bundle of the sphere is non-trivial by the hairy ball theorem. In general, a manifold is said to be parallelizable if, and only if, its tangent bundle is trivial.
Vector bundles are almost always required to be locally trivial, however, which means they are examples of fiber bundles. Also, the vector spaces are usually required to be over the real or complex numbers, in which case the vector bundle is said to be a real or complex vector bundle (respectively). Complex vector bundles can be viewed as real vector bundles with additional structure. In the following, we focus on real vector bundles in the category of topological spaces.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Bundle za halotel

    Nahitaji agents wa kuuza bundle za halotel na Yas 0658204909
  2. Magical power

    Broo Jinsi unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke wako anakuona ukiwa huna Pesa

    Broo Jinsi Unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke Wako Anakuona Ukiwa Huna Pesa...
  3. Snrmoudy

    TTCL bando nafuu

    H
  4. Mudi_kidato

    Halotel sim bundle

  5. Nyaka-One

    Hili punguzo la leo la Airtel kwenye gharama za voice bundle ni la kudumu?

    Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima. Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa 10,000 kupata hizo dakika 1,200 nilizozoea nashangaa menu imekuja na chaguzi kadhaa mojawapo ikiwa ni ya...
  6. Kigoma Top

    Je ni kweli kuna VPN zinapunguza ulaji wa bundle la Data

    Wakuu huku kitaa kuna vpn nyingi ambazo wadau wanadai zinapunguza data kuisha au kutumika zingine wanasema ukiwa nayo unatumia data bure
  7. Optimistic_

    Tigo postpaid bundle

    Vigezo vya kupewa huduma 1. Nida ID au namba ya nida 2. Tin certificate au Tin namba 3. Email 4. Pesa ya security deposit (Pesa ya dhamana) mfano unataka kifurushi cha ef40 unalipa ef40 kama dhamana MUHIMU Dhamana hii haumpi mtu unailipia kwenda TIGO nakuelekeza jinsi ya kulipa alafu...
  8. K

    Simu yangu inatumia sana Intaneti

    Jamani, simu yangu inatumia sana bandle la internet. Je, nifanye njia ipi kupata bundle kwa bei nafuu kwani nataka kuanza kusoma kwa kutumia online mecahnisns. Hivi wale wa internate cafe mbona saa nzima wanacharge book tu. Je, wao wanafanyaje kupata bandle kubwa Kwa bei nafuu na hadi wanapata...
  9. ndege JOHN

    Gharama za nauli, chakula, maji, bundle, pamoja na kodi zinafanya biashara nyingi ziwe changamoto

    Tuseme una duka lako mahali pengine mjini na una kijana mzuri tu mwaminifu anakuuzia ila cheki utitiri wa gharama za uendeshaji. 1. Assume mnakaa mbali na duka na kijana anatakiwa alipe Hela ya usafiri mfano 1000 ya bajaji au boda kwenda na kurudi Kwa siku ni 2000 Kwa mwezi ni 60000/= 2...
  10. T

    Airtel 5G - Bundle imeisha ndani ya sekunde 10

    Baada ya kuona 5G imejitokeza siku ya leo, nikaamua kufanya speed test kuona uhalali wake. Bundle iliosha kabla speed test kumalizika. Top speed ilifika kwenye 528Mbps Download. Upload sikutest bando ilikata Pongezi kwa Airtel, sasa mtangaze tu na bando za 5G maana hizi Mb chache...
  11. blogger

    Inawezekana 4G inamaliza bundle haraka sana kuliko 3G?

    Naomba kufahamu kama opt. ya 4G inapeleka bundle kwa kasi kuliko 3G.. Maana bundle halikai kabisa. Ahsante.
  12. MHP

    Mtandao wa Halotel wanafanya wizi wa kutisha kwenye bundle za wateja kuanzia leo saa 6 mchana tarehe 05.01.2023

    Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha. Kwa MB 490 ukiangalia video...
  13. JF Member

    Waziri NAPE, peke yako tu ndio unaona ghalama za bundle zimeshuka?

    Katika hari ya kawaida, Ni ujinga sana kutetea ghalama za bundle kwamba zimeshuka. Na naamini Nape anajua kabisa either Rais hanunui bundle na hivyo hajui ghalama zake ama anaamuni Rais hawezi mfanya chochote. Watanzania wote wanalia na hizo ghalama lakini yeye anatetea zimeshuka. Nape ni...
  14. Dr Matola PhD

    Hawa ni malejendari wa soka la Bongo. Je, unawajua? Wataje ushinde bundle

    Leo ni weekend tunagawana umaskini, atakayetaja wachezaji wa zamani waliopo kwenye picha hii kwa usahihi bundle la weekend litamuhusu. Wataje.
  15. B

    Bundle la Simu ku expire, mbunge ataka mlaji alindwe

    Mbunge Salome Makamba ametaka serikali kuwalinda wateja wa simu za mkononi ambao wanabanwa na mikataba isiyo ya usawa, kuwalazimisha kutumia salio za vifurishi huku walaji hao wakiwa hawana mtetezi wa kuuliza makampuni ya simu dhima na sababu ya kulazimisha walaji kutumia vifurushi...
  16. Internet-Money

    Mbunge amkumbusha Nape majukumu , Kuhusu Bundle

    Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa. Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle. Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
  17. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    ZANTEL wamepunguza bundle la Wiki kutoka GB 2.2 kwa Tsh 3,000 hadi GB 1.9 kwa Tsh 3,000

    Daahhh sisi tunaotegemea kujifunza, kufanya marketing na sales kwa njia ya mtandao gharama zimepanda tena. Leo naamka nakuta kifurushi cha Wiki cha ZANTEL ambacho ilikuwa unapewa GB 2.2 kwa Tsh 3,000 (Hapo kilipunguzwa pia kutoka GB 2.5) kwa sasa unapewa GB 1.9 tu. Sasa na haya mambo ya YouTube...
Back
Top Bottom