Wadau poleni na majukumu nakuja mbele ya jukwaa nikiomba ushauri wa kampuni nzuri inayouza mabati kwa ajili ya kuezekea.
Nimeuliza mafundi kadhaa wamenishauri nitumie migongo mipana lakini sijajua kampuni ipi nzuri itanifaa naombeni mwenye uzoefu juu ya ubora na kampuni nzuri anisaidie please...