Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500
Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669
Ukitaka fundi kupaua pia yupo
Wataaalam wa uezekaji mnaweza kutusaidia Kwa hili. Na vigezo vya ubora ni vipi?
Jee Gauge 28(Geji 28) ya Ando ndiyo geji hiyo hiyo Kwa ALAF. Yani kipimo cha geji ni kimoja kwa mabati yote?
Kama kipimo cha geji kwa mabati yote ni kimoja, Sasa nini kinacholeta utofauti kwenye mabati toka kwenye...
Utangulizi
Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu.
Thanks in advance 🙏🙏🙏
Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF.
Naomba ushauri kwa wazoefu.
Asante
Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali.
Tofauti na hivi sasa mtu ananunua gari milioni 500 lakini bodi ni kama aina fulani ya plastiki gumu.
Ikitokea ajali gari inakwisha kila...
Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja.
Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
Soma Maelezo vizuri Tajiri😊
Nimemaliza kupauwa nimebakiza bati 5 nzima Tajiri. Hazina vipengere labda uje navyo wewe Tajiri😊
👉Bati ni Kampuni ya ALAF geji 30.
👉Mgongo mpana(Covermax) zipo 3 na mgongo mdogo zipo 2.
👉 bei ni TZS. 34,000 tu(hamna maongezi) kwa kila moja Tajiri.
👉 Zote jumla ni...
Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi
Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen
Ukubwa - 91sqm
Urefu - 12.3m
Upana - 8.5m
Gharama Ujenzi Boma
- Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache
Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi)
Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja
Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
Kwa wajuzi wa Bati Kati ya Hizo Bati mbili ipi ni Bora kwa Ubora Tunaitaji kuchukua Moja wapo kati ya Hizo Campuni 2 Kwa ajiri ya Ujenzi, Kuna Ndugu Yangu ameniuliza kuhusu hilo, nimeishindwa kua na Jibu la Moja kwa Moja,
Mimi huwa natumia Bati Yote Yote itakayokuambele yengu natazama mfuko...
Wakuu bati zangu zimeanza kupauka ndani ya miaka 5 toka nipaue Aina yake ni zile za migongo mipana.
Je Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu? Naomba kuwasilisha
Katika nyumba;
1. Nini kinasababisha kofia za kushuka na zile za kulala kuvuja?
2. Nini suluhisho lake?
Kwakweli ukipiga bodi halafu nyumba ikawa inavuja inakera sana.
Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?
Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo?
Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri.
Tupo Arusha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.