bara la afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Ni viongozi wangapi kutoka bara la Afrika, watakwenda Marekani kushuhudia uapisho?

    Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais. kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria? Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?
  2. FRANCIS DA DON

    Napendekeza bara la Afrika libadilishwe jina

    kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake… Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
  3. MAKA Jr

    Kwanini Bara la Afrika linajulikana kama sehemu ya kwenda kuiba mali?

    Ni kwa nini duniani kote inajulikana kuwa Bara la Afrika ni sehemu ya kwenda kuiba au kuchukua vitu pasipo na wenyeji wake kuonyesha kujitetea? Hii hali inazidi kuwa kubwa kadri siku zinavyosonga. Tulifikiri uhuru utaondoa hili, lakini wapi. Tulifikiri Elimu na teknolojia vitaondoa hili...
  4. Stephano Mgendanyi

    Tanzania Kuandaa World Travel Awards 2025 kwa Bara la Afrika - Dkt. Abbasi

    Na John Mapepele Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema Tanzania inakwenda kuandaa Tuzo za Utalii duniani (World Travel Awards, WTA) kwa Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Dkt. Abbasi ametoa kauli hiyo leo Novemba 26, 2024 wakati akiongea na Vyombo vya Habari mara baada ya...
  5. UMUGHAKA

    Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  6. LAZIMA NISEME

    Je, mwaliko wa Tanzania katika mkutano wa G20 unatoa nafasi halisi ya kuboresha ushirikiano wa kimataifa kwa bara la Afrika?

    Hatua ya Kihistoria kwa Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20. Huu ni ushindi mkubwa unaoonesha ukuaji wa ushawishi na nafasi ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa. Je, uwepo wa nchi zinazoendelea...
  7. K

    Niende nchi gani nje ya Afrika kutafuta maisha na kutoboa kirahisi?

    Igweeee Waswahili husema bongo bahati mbaya,, hatimaye zamu yangu kwenda ng'ambo imekaribia Ni hivi nimekuwa na ndogo hii kwa muda mrefu baada ya kuimaliza elimu ya chuo bongo na kusota bila ajira na hivyo akili yangu yote ikawaza kuhama hii nchi kwenda kutafuta maisha nchi yoyote tofauti na...
  8. Mwande na Mndewa

    Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

    Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line.. Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza.. Part of Africa is Doing iT 🙃
  9. Roving Journalist

    Dkt. Tulia ataka ushirikiano na mawazo bunifu kuliendeleza Bara la Afrika na watu wake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, amewataka washiriki wa mkutano huo kutumia jukwaa hilo kikamilifu kwa kuimarisha ushirikiano...
  10. Jaji Mfawidhi

    Bara la Afrika kugombewa kama "kigoli"

    Mikutano ya Viongozi wetu wapendwa , wazalendo, wamekuwa wakizunguka duniani kututafutia maendeleo. Kumekuwa na mikutano ya nchi za ulaya na Africa, Hapa chini nimeweka nchi zilizoita wakuu wa nchi za afrika. Mwezi huu wa 9 mwaka 2024 inasemekana wapo CHINA , kuimarisha ushirikiano. France...
  11. Lycaon pictus

    Fun fact: Uganda inaongoza kwa kuwa na maziwa mengi Afrika

    Nchi ya Uganda ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na maziwa mengi barani Africa. Ikiwa na maziwa 69. Ziwa linahesabiwa iwapo eneo la maji kwa kiwango cha chini ni ekari 5 na wakati mwingine kuanzia ekari 20. List hii. 1. Uganda 69 2. Kenya 64 3. Cameroon 59 4. Tanzania 49 5. Ethiopia 46 6. SA 37...
Back
Top Bottom