Mimi ni mwana CCM, Linapokuja suala la uwezo wa Mtu na Akili kubwa huwa haki yake nampa mtu yeyote
Kama ninavyowashangaa wanahisabati na wana sayansi kama Albert Einstein, Isaac Newton na Blaise Pascal waliwaza nini na kwanini Walifikiria hivyo ndivyo kwenye siasa za Tanzania na amsha amsha...
Hii ndio Chadema
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa zinazoongezea wananchi ugumu wa maisha
Aidha Mnyika aliwataka polisi wamtajie kifungu cha Sheria...
Katika barua ya wazi kwa viongozi wanaokutana katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Jijini NewYork, Mashirika 238 kutoka Nchi 75, yakiwemo #Oxfam, #SaveTheChildren na #PlanInternational yameelezea hali ya wasiwasi ongezeko la viwango vya njaa
Barua hiyo imebainisha kuwa Mtu mmoja...
Umoja wa Mataifa imesema kwamba Waafghanistan milioni 6 wako hatarini kukabiliwa na njaa, huku majira ya baridi kali yakikaribia na mashirika ya kibinadamu yakiwa na uhaba mkubwa wa fedha
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths amesema watu milioni 24 nchini humo wanahitaji msaada wa...
Takariban watu Milioni 22 kutoka Pembe ya Afrika Mashariki wapo hatarini kukumbwa na baa la njaa ikiwa ni ongezeko la watu Milioni 9 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema uhaba wa mvua kwa misimu minne mfululizo umesababisha idadi kubwa ya wananchi wa...
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, nchi hiyo inakabiliwa na ukame mbaya zaidi kushuhudiwa ndani ya miaka 40, uliosababishwa na mvua kutokunyesha kwa misimu 4 huku bei ya chakula katika soko la dunia ikizidi kuwa juu
Ripoti za mashirika ya kibinadamu FAO, WFP na UNICEF zinasema kuwa, karibu...
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu milioni 18 katika eneo la Sahel barani Afrika wanakabiliwa na njaa kali katika miezi mitatu ijayo kutokana na athari za Vita kati ya Urusi na Ukraine, janga la COVID-19 na mabadiliko ya hali ya hewa
Inaelezwa kuwa idadi kubwa zaidi ya watu wako katika hatari...
Pili Mwinyi
Bara la Afrika, ambalo lina watu zaidi ya bilioni 1.3, hivi sasa linakabiliwa na mtihani mkubwa wa baa la njaa. Mbali na sababu nyingine nyingi zikiwemo ugaidi na vita vya wenyewe kwa wenyewe, baa la njaa pia linatokana na ukosefu wa mvua unaopelekea ukame na hatimaye kuwa na uhaba...
Shirika la Habari la Deutsche Welle (DW) Limetoa taarifa ya ukame na tishio la njaa linaloikumba nchi ya Kenya. Katika taarifa hiyo, imeonyesha idadi kubwa ya Twiga waliokufa kwa sababu ya ukame uliosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Taarifa hiyo imesema pia mifugo mingi haina chakula na...
Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema serikali ina akiba ya chakula inayokidhi mahitaji ya wananchi watakaokuwa na upungufu wa chakula...
Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini.
Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025.
Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo:
1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage.
2...
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi tunaomba Rais azuie mazao ya chakula yanayouzwa kwa kasi nje ya nchi maana naona mbeleni kuna njaa kubwa inanyemelea nchi yetu.
Ikumbukwe kwamba pamoja na mambo mengine kuna baadhi ya mikoa kama Kagera, Arusha, Iringa, Kigoma n.k. kipindi kama hiki mvua...
Ni wakati ambao mabadiliko ya tabia ya nchi yamechukua nafasi katika ulimwengu huku tukiwa tunashuhudia ongezeko la joto na upungufu wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini. Mazingira yanatuma taarifa kwa ulimwengu kama tunahitaji kuyategemea basi tunajukumu la kuyatunza na kuyalinda.
Viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.