Wapenzi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua bibi kizee wa miaka 100 kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati wakigombea ardhi.
Bibi huyo, Felister Silayo, mkazi wa Kijiji cha Kirongo juu, Kata ya Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo alifikwa na umauti...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Mwanamke mmoja aitwaye Estaroda Kaduma (28) amkazi wa Kichiwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Kaka yake anayefahamika kwa jina la Brown James Kaduma (7) ambaye anasoma darasa la kwanza katika Shule ya msingi Kichiwa.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe...
JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
Idara ya ujasusi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemzuilia mwanahabari wa Marekani Stavros Nicolas Niarchos baada ya kudaiwa kukaribia makundi yenye silaha Kusini Mashariki mwa nchi hiyo
Mwanahabari huyo mwenye umri wa miaka 33, ambaye anaandikia magazeti ya Marekani The Nation na...
Misikiti 14 katika Jimbo la Jigawa imeathirika kwa kuvunjwa katika Jimbo la Jigawa Nchini Nigeria baada ya wakazi kuahidiwa kujengewa misikiti mipya mikubwa lakini mtoa ahadi akakimbia.
Mtuhumiwa huyo, Abba Haruna mwenye umri wa miaka 21, aliwaambia Wanakijiji kuwa taasisi ya kigeni ingejenga...
Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wa Mdogo wake aliyekuwa na umri wa miaka miwili (2) na miezi minne. Mtuhumiwa huyo LATIFA BAKARI (33), mkazi wa Mabibo aliachiwa mtoto huyo na mdogo wake kwa lengo la malezi na Tarehe 05/04/2022...
Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni
Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet.
Kamanda wa Kaunti ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohamedi Bakari Lukindo, mwenye umri miaka 43 kwa tuhuma za kumuua Athumani Dolly baada ya kumfumania na mke wake nyumbani kwake majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake Mtaa wa Vunja Bei Wilayani...
Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa makosa ya mtandao. Taarifa zaidi zinaendelea kupatikana Polisi na kwa familia na tutajuzana zaidi...
Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa BAWACHA Wilaya ya Temeke, Bi. Neema Mwakipesile kwa zaidi ya siku 4 bila kumueleza kosa lake.
Taarifa ya BAWACHA inaeleza kuwa tangu kushikiliwa kwake, Mwenyekiti huyo amezuiwa kuonana na ndugu zake, viongozi wa chama, n ahata kupelekewa chakula.
Ukisikia kuna kupungukiwa akili, ndiyo huku.
Ukikaa mbele ya luninga yako, halafu ukasikia kuwa mazalio ya samaki yanaharibiwa na wavuvi maharamia wa majini. Halafu baadaye ukamsikia mvuvi haramia akitamka kuwa wameanzisha mapambano dhidi ya samaki kwa sababu amezamisha meli ya kisasa ya uvuvi...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikiliia Daniel Ruzinokwa kwa tuhuma za kukutwa na sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambazo amekuwa akizitumia kufanya udanganyifu na matukio ya uhalifu katika mikoa mbalimbali nchini.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon...
Mei 13, 2021 Rais Samia Suluhu alimsimamisha Lengai Ole Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya na kuamuru uchunguzi dhidi yake. Zaidi soma - Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya
Baada ya kusimamishwa kazi, iliripotiwa kuwa Ole Sabaya anapanga kutoroka nchini. Zaidi soma
- Ole Sabaya apanga kutoroka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.