anthony mavunde

Anthony Peter Mavunde (born 2 March 1984) is a Tanzanian politician who has been a member of the ruling party CCM since 2006. He is the current Minister of Minerals and a Member of Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge mavunde awapa tabasamu watu wenye ulemavu

    ▪️Agawa viti mwendo 20 kwa wanafunzi na wenye ulemavu ▪️Mbunge Keisha apongeza juhudi za Mbunge Mavunde kwa watu wenye ulemavu 𝐃𝐨𝐝𝐨𝐦𝐚 Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amegawa vitu mwendo 20 kwa wanafunzi na wananchi wenye ulemavu Jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya utatuzi wa...
  2. Waufukweni

    Geita: Anthony Mavunde aahidi kuingiza Tsh. Trilioni 1 Katika Mfuko wa Serikali kutoka Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini leo tarehe 13 Oktoba, 2024, mkoani Geita. amesema kuwa Wizara ya Madini imejipanga kuingiza Tsh. trilioni 1 kwenye mfuko wa...
  3. B

    Waziri wa Madini apongeza Maafisa madini kwa kuvunja rekodi ya Mapato ya Bilioni 196 kwa miezi miwil

    Ndani ya miezi miwili yakusanya shilingi bilioni196 ikiwa ni zaidi ya kiasi kilichokusanywa katika mwaka wa fedha 2015/2016 cha shilingi bilioni 161 Waziri Mavunde apongeza Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kwa kuibeba Sekta ya Madini kupitia ukusanyaji wa maduhuli. Ampongeza Rais Samia kwa kuipa...
  4. Roving Journalist

    Madini ya Dhahabu Kilo 15.78 yenye thamani ya Tsh Bilioni 3.4 yakamatwa Bandari ya Boti Dar yakitoroshwa kwenda Zanzibar

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio hilo. "Nchi...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Azindua Shule ya Sekondari Mkoyo-Hombolo Jijini Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI MKOYO-HOMBOLO JIJINI DODOMA -Ni Shule iliyojengwa na Mbunge Mavunde na Serikali -Shule yapewa Jina la Anthony Mavunde -Watoto wanusuriwa kutembea kilomita 15 kufuata Shule -Serikali ya Rais Samia yapongezwa kwa usikivu 📍Hombolo,Dodoma Mbunge wa...
  6. Roving Journalist

    Wizara tatu zajadili hali ya uzalishaji chumvi nchini Tanzania

    Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi nchini. Wizara hizo zimekutana jijini Dodoma kufuatia taarifa zilizowasilishwa kwa Serikali na Chama cha...
  7. Roving Journalist

    Waziri wa Madini: Serikali itatunga Kanuni za kushughulikia migogoro Wamiliki wa Leseni na wenye maduara

    Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde mkoani Shinyanga katika Kijiji cha Mandu, machimbo ya Ntambalale Wilayani Kahama alipotembelea kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuhakikisha kero zote zinazowakabili...
  8. ismaili sogora

    SoC04 Serikali iwaangalie wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kuwapatia nyenzo za kuwawezesha vijana kuendeleza fani zao

    Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
Back
Top Bottom