algeria

  1. Miss Zomboko

    Algeria: Upinzani watangaza kususia Uchaguzi wa Bunge

    Chama cha upinzani cha kisoshalisti nchini Algeria FFS kimetangaza kitasusia uchaguzi wa bunge wa mapema uliopangwa kufanyika mnamo Juni 12 kikisema mazingira ya kufanyika uchaguzi huo hayaridhishi. Baraza la Taifa la chama cha hicho limesema matayarisho kuelekea uchaguzi huo siyo rafiki na...
  2. N

    TP Mazembe watuhumiwa kuiba simu za Waalgeria

    Zim Diaspora Sports Connect TEAM YA ALGERIA CR Belouizdad ambayo juzi imetoa droona mazembe imelaumu kuibiwa vitu vyao zikiwemo simu za mkononi,ikumbukwe mazembe mwaka 2019 waliumiwa kuweka sumu na timu ay tunisa iitwayo club afriacain wakshinda 8-0..najiuliza sana haya yote yangetokea tanzania...
  3. Sam Gidori

    Algeria, Bolivia Kupokea Chanjo ya COVID19 ya Sputnik V kutoka Urusi

    Urusi imesaini mikataba ya kusambaza chanjo yake virusi vya corona inayoitwa Sputnik V kwa mataifa ya Algeria na Bolivia. Hii ni mara ya kwanza kwa Urusi kuanza kusambaza chanjo ya COVID19 nje ya taifa hilo ambapo inaiweka Bolivia kuwa nchi ya kwanza kwa mataifa ya Amerika Kusini kupokea chanjo...
  4. Sam Gidori

    Kifungo cha Miaka 15 gerezani kinaweza kumkabili "Mtoto wa Siri" wa Rais wa zamani wa Algeria kwa tuhuma za rushwa na ubadhirifu wa mali

    Mwaka mpya unaonekana kuanza vibaya kwa 'mtoto wa siri' rais wa zamani wa Algeria aliyeondolewa madarakani, Abdelaziz Bouteflika, anayejulikana zaidi kwa jina la Madame Maya baada ya upande wa mashtaka kuomba kifungo cha miaka 15 kutokana na tuhuma za rushwa na ubadhirifu wa mali zinazomkabili...
  5. Miss Zomboko

    Algeria: Marekebisho ya katiba yamepitishwa kwa asilimia 66.8 ya kura zilizopigwa na wananchi waliojiandikisha

    Marekebisho ya katiba yamepitishwa kwa asilimia 66.8 ya kura zilizopigwa na robo ya wananchi waliojiandikisha kushiriki kwenye zoezi la upigaji kura nchini Algeria. Akizungumza na waandishi wa habari leo hii, Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Uchaguzi ya Algeria Muhammed Shurfi alisema kuwa pingamizi...
  6. TODAYS

    Algeria yatunisha msuli kwa bidhaa za China nchini Tanzania

    Sikuwahi kufikilia nchi mojawapo ya ukanda wa kaskazini ku-export bidhaa nchini Tanzania, hususani bidhaa ya simu. Leo naona simu yenye uwezo wa kasi ya 4G inayopigiwa kelele na makampuni ya mitandao nchini ikizalishwa nchini Algeria na kuanza kupokeewa kwa mikono miwili. Bidhaa zilizoeleka...
Back
Top Bottom