Wito wa Ado Shaibu wa kuwekwa wazi kwa ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao unapaswa kuchambuliwa kwa kina, hasa kwa kuzingatia dhamira ya kweli ya haki na uwajibikaji. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha msimamo wa uwazi na uwajibikaji, akitoa maelekezo thabiti kwa vyombo vya dola kuhakikisha...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo Januari 15 Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar Es Salaam amesema “Wakitokea watu wanataka kujiunga ACT Wazalendo kutokea CHADEMA tutawapokea na tunawakaribisha sana kwa mikono miwili kwa sababu biashara ya chama cha siasa...
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho kitampa nafasi mtu yeyote atakayehamia kuweza kugombea nafasi ya Urais.
Ado amesema taratibu za chama hicho zinasema mtu akishakuwa mwanachama anaruhusiwa kutangaza nia na taratibu zingine za usaili zikifanyika na...
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amewataja watu waliomteka na kumtesa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo, akisema kuwa licha ya mateso hayo, chama hakitogopa wala kutojiweka pembeni. Akiwa katika mkutano hapo jana (Disemba 3), Shaibu alisema kwamba "wakimpiga...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amepiga kura katika kituo cha Gharani Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Mchangani.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu , amewataka wananchi wa Kijiji cha Katanda, Kata ya ML. Magharibi, Jimbo la Tunduru Kaskazini, mkoani Ruvuma, kuzingatia vigezo vya uongozi bora badala ya kushikilia itikadi za vyama vya siasa wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ado ametoa...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amepongeza hatua ya kihistoria iliyochukuliwa na viongozi wa vyama vya CUF na ACT Wazalendo katika kijiji cha Nakapanya, kata ya Nakapanya, wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma, kwa kuamua kuweka tofauti zao za kiitikadi pembeni na kuungana katika kampeni za...
Wakuu,
Mambo yanazidi kunoga, kapilipili kanazidi kukolea. CCM wakiongonzwa na UVCCM Kagera wanawazoom tu 🌚 🌚
=====
"Sisi tumevumilia sana kuibiwa, 2020 tumeibiwa, na safari hii wamejaribu 'kutubipu' tukawapigia, wengine huko walipo wanajipanga eti wajaribu kutuibia tena, ninawaambia simu...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho haridhishwi na zoezi la uandikishaji wa Wapigakura linaloendelea hivi nchini.
Ado Shaibu ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2024 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Dar es salaam.
Amesema: "Bila...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu ametuma tena Salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kulitazama suala la kupotea kwa Watoto kwa umakini zaidi.
Ado ameyasema hayo wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita, Septemba 29, 2024.
Amesema...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni kujiuzulu kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo hivyo kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya ukatili nchini.
Shaibu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Katoro, Wilayani...
Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ado Shaibu akiwa kwenue mjadala wa X (Twitter ya JamiiForums) ametoa mchango wake kuhusu rushwa. Akitoa hoja hiyo anasema:
Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa, mfano huko nyuma Rais wa Awamu ya Tano aliwahi kutaka kurasimisha...
Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye.
Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi.
Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia CCM.
Sasa...
Ado Shaibu: Aweka Wazi Wajumbe wa Sekretarieti ya ACT-Wazalendo.
UTANGULIZI
Jana tarehe 7 Machi 2024, Halmashauri Kuu ya Chama ya Chama cha ACT Wazalendo ilikutana kwenye kikao chake maalum kilichofanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.