Mkuu mimi nazungumzia genuine desire, soma kitabu cha rollo tomasi kinaitwa rational male utaelewa, mwanamke anataka lover na provider, lover ni mwanaume mwenye mwonekano mzuri, provider ni mwanaume mwenye hela za kuhudumia, anaeweza kuwa baba wa familia, sasa ni mara chache unaeza kuta mwanaume...
Habarini,
Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc.
Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba mtu akijiita handsome, basi yeye ni shoga. Hata biblia inatambua handsome men k.v Yusuph na Absalom...
Habarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc
Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Habarini
Utakuta ukimuuliza mdada kwanini hadi umri huo alio nao hajaolewa na yupo single, atakwambia hajaona mwanaume serious, baadhi ni kweli hawajapata wanaume serious, ila wadada wengine ni kwamba hata wao wenyewe hawapo serious kwenye hayo mahusiano wanayoingia.
Wanaingia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.